makumbusho

Makumbusho (Kata ya Makumbusho, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. Mikocheni and Mwananyamala form the ward's northern and eastern borders, respectively. The ward is bordered to the south by the wards of Ndugumbi and Magomeni. Tandale and Kijitonyama wards are in the west. According to the 2012 census, the ward has a population of 68,093.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    TCRA wafungie ama wasifungie Simu Feki? Kariakoo na Makumbusho imejaa Simu za "kimarekani" na "Korea" feki!

    Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original. Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye...
  2. Waufukweni

    DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  3. T

    Ninahitaji kiwanja maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni na Makumbusho ofa milioni 20

    Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
  4. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Siku hizi Taasisi yenu ya 'Makumbusho' haiwezi tena Kusomesha Watumishi wake Masters na PhD's na inawataka wajisomeshe kwa Pesa zao?

    Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
  5. JanguKamaJangu

    Soko la Bwawani Kinondoni lililogharimu Sh Bilioni 1 linaelekea kuwa makumbusho, lipo hoi hakuna Wafanyabiashara

    Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam kubainisha wazi tija ambazo zinatokana na uwepo wa Soko la Bwawani, lakini katika hali ya kusikitisha soko hilo limeanza kuwa makumbusho hata kabla ya miaka 5. Kwenye soko hilo maeneo ya biashara ni matupu hakuna...
  6. Mohamed Said

    Maktaba Imepokea Vitabu Kutoka Makumbusho ya Maji Maji Songea

    MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji, Songea. Akiwa Songea kanirushia picha nyingi alizopiga hapo Makumbusho. Allah amjaze kheri.
  7. Mshana Jr

    Mradi wa ujenzi wa makumbusho haujazingatia mahitaji yetu ya sasa kama taifa

    "Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama bilioni 1 na eneo lile lina ukubwa wa Ekari 50," - Rais @SuluhuSamia. #UzinduziKitabuChaSokoine...
  8. Ze Heby

    Makumbusho ya Marais kujengwa Dodoma

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetenga Tsh. bilioni 34 kwa ajili ya mradi wa makumbusho ya Marais ambao utajengwa Dodoma ili kuweka historia na kumbukumbu za Viongozi hao. Rais Samia amesema hayo Jijini Dar es salaam leo September 30,2024 wakati akizindua kitabu cha...
  9. Waufukweni

    Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

    Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 50 na unalenga kuhifadhi kumbukumbu za viongozi wakuu wa nchi pamoja na historia...
  10. Kyambamasimbi

    Serikali ijenge Makumbusho ya Muziki wa Dansi iliyosheheni vifaa, picha za wasanii, wa Muziki wa Dansi. Itakuwa kama sehemu ya Utalii

    Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi. Na mtangazaji nguli Mwanaethnomusicologist wa TBC taifa Masoud Masoud awe mkurugenzi mkuu wa Makumbusho hiyo. Tutakuwa tumeitendea...
  11. J

    Abiria wa bamaga,sayansi,na makumbusho wakosa daladal za moja kwa moja hadi kawe

    kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli na muda wa safari jambo ambalo linaathiri shughuli zao za kila siku
  12. G

    Kuna mgomo wa daldala Makumbusho?

    Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
  13. ndege JOHN

    Mwenye footage za vita frontline naomba anisaidie

    Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha...
  14. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  15. M

    Makumbusho ya Taifa kwanini hamna michezo ya watoto na mgahawa

    Mwanangu juzi amekuja kiziara makumbusho ya taifa hapo, jioni namuuliza jinsi tour yake kama aliienjoy. Kasema hivi na hivi, kaniambia sijui kaona samak sijui vipi Swali langu kwenu kwanini hamuweki michezo kama pembea, seesaw, trampoline, or mgahawa. Pale kila nikipita naona watoto wamejaa ila...
  16. B

    Ni wakati sasa Makaburi ya Kinondoni yawe Makumbusho

    Habari waungwana! Sisi tuliowapumzisha wapendwa wetu hivi karibuni makaburi ya Kinondoni tumeona ni jinsi gani ilivyo ngumu hata kupita katikati ya makaburi mengine. Kiufupi eneo lile limejaa halipaswi kuendelea kuwa sehem ya kupumzisha wapendwa wetu. Ushauri wangu- 1. Serikali ifunge eneo...
  17. Mfufua Nyuzi

    Ni yapi madhumuni ya kijiji cha Makumbusho?

    Kijiji cha Makumbusho ni sehemu ya makumbusho inayoonesha nyumba na vifaa vilivyojengwa kihalisi kutoka kwa makabila machache ya Tanzania na liko katikati ya jiji la Dar es Salaam. Ni miongoni mwa makumbusho matano nchini, mengine yakiwa ni makumbusho ya Taifa ya Dar es Salaam, makumbusho ya...
  18. DodomaTZ

    Makumbusho ya Banyambo inayoitwa Karagwe Heritage Museum yazinduliwa

    Machi 22, 2024 Kutoka Mji mdogo wa Omurushaka katika Uzinduzi wa Makumbusho ya Banyambo inayoitwa KARAGWE HERITAGE MUSEUM, uzinduzi ulienda sambamba na uzinduzi wa Kitabu cha KARAGWE, HISTORIA, MILA NA DESTURI ambacho kimeandikwa na Mtaalam Bullet Ruhinda akishirikiana na Frontline Ruhinda...
  19. L

    Makumbusho ya Sanxingdui yarejesha ustaarabu ambao haukujulikana hapo awali

    China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi vinapatikana kwenye maeneo mbalimbali ya akiolojia hapa China. Ikiwepo Guanghan takriban kilomita 40...
  20. C

    Daladala za Mbezi mwisho - Makumbusho / Kawe kupitia Goba nazo zina wale dunga dunga?

    Yaani nimejikuta nacheka sana ndani ya daladala baada ya kumuona mwamba akigandamizia zipu yake kwa abiria wa kike aliyekuwa mbele yake na kila dada wa watu alipokuwa akisogea mwamba nae alikuwa akiambaa nae tu na chaki mpaka dada alipomshtukia na kumgeukia huku akimsonya huku mwamba akijikausha...
Back
Top Bottom