Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Ukitafakari kwa kinahuko ulaya na Amerika wanatumia majina yasikuwa kwenye biblia/quruan na yasiyo na maana kabisa kama"bush",""liver", "crew" na "langstone" wenye majina hayo wanafanikiwa lakini Afrika majina ya kibiblia/quruan yenye asili ya kiarabu na kizungu waliyoaninishwa kuwa ni ya Mungu...
Baadhi ya majina hayo ni kama
1. Sokratis Papastathopoulos
(Greece)
2. Jakub Błaszczykowski:
(Poland)
3. Grzegorz Krychowiak:
(Poland)
4. Wojciech Szczęsny:
(Poland)
5. Yevhen Olehovych Konoplyanka:
(Ukraine)
6. Jakub Wawrzyniak:
(Poland)
7. Panagiotis Tachtsidis:
(Greece)
8. Hakan Çalhanoglu...
Nimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote
Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JAMAA 👇👇
Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo.
Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kuna mwanachama anasema kwamba Mnyika anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu kinyume cha sheria, na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa.
1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler.
2...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa katika kura za maoni mwaka huu, wanachama wa chama hicho watapewa majina matatu pekee ya wagombea watakaoshindania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama katika nafasi ya ubunge.
Akihutubia wananchi wa Tunduma...
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
Wakuu habari .
Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako.
Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia.
Je ipo siri gani hapo nyuma ?
Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
Habarini,
Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili?
Hapa ndipo nawiwa kusema wafia dini wote ni WAJINGA na WAPUMBAVU wasiojua wanachokifanya kama vile kuruka mkojo na...
Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?
Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!!
1. John Kijazi
2. John Magufuli
3. John Heche
4. John Mnyika
5.John Kaijage
6. John Kitwanga
7.............
Aliyepata hasara ni John Babptist tu.
Kama una akina john wengine wataje
1. Nape Nnauye - Hajawahi kuwa msaada kwa watu wake wala Taifa letu. Hajawahi kuwa na mchango wa maana toka awe Mbunge. Tunataka watu wapya waje. Apishe.
2. January Makamba - Huyu yeye aliona sisi tuliomchagua tunachokosa huku Bumbuli ni draft. So akaamua kututengenezea za kutosha na kutugawia...
Habari manguli wa historia,
Tunaambiwa wangoni ni moja ya makabila ya mwisho kufika Tanganyika.
Walitokea Afrika kusini miaka chini ya 200 iliyopita kwa kukimbia vita na makaburu na makabila wenzao.
Ni lini na kwa nini waliamua kutumia majina ya wanyama kama Komba, Ngonyani etc
Kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.