Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba
Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu.
Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari ya kubomoka hasa kipindi cha mvua.
Uchumbaji wa michanga maeneo ya Mwaninga, Chekeni, Kisarawe II...
Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa wakati kadhaa alikuwa ananipigia simu na kunipiga vizinga.
Sababu nilikuwa najua hali yake, nikawa...
Elimu ni kurithisha au kuhamisha maarifa, ujuzi, taarifa au taaluma kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Malengo ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania kuanzia 2025 adi 2050 yawe ni
i. Kurithisha au kutoa maarifa na ujuzi kwa vijana yatakayoweza kuwakwamua katika lindi la umaskini na waweze...
Mada:
Habari wanajamii,
Mabadiliko ya tabianchi ni moja ya changamoto kubwa zinazokabili dunia yetu leo. Tumekuwa tukisikia kuhusu ongezeko la joto, ukame, mafuriko, na majanga mengine ya asili yanayohusishwa na mabadiliko haya.
Ningependa kujua jinsi mabadiliko ya tabianchi yameathiri...
Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa safi isiyo na buguza ndani yake.
Ni vizuri kutambua kila kiumbe hai kina uhitaji wa afya Bora...
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali?
Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
Habarini za asubuhi wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye
Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
Huu ni mtiririko wa maisha yetu kwa ufupi! Upo katika hatua ipi? Wakati mwingine maisha ni ubatili!
Tuishi kwa amani kwani tuna muda mfupi sana hapa duniani!
Credit: Instagram.
Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa.
Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
Kama baba na mama wanakula na kulala vizuri halafu hawajui kabisa watoto wanakula Nini au wamekula Nini, hiyo familia inakuwa ni kama yatima tu
Haiwezekani siku mbili hakuna umeme nitaishije Mimi kama maisha yangu yanategemea umeme kila siku,
Halafu mnajiita viongozi mnakula na kulala vizuri...
Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike.
Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa;
"Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.