lumumba

  1. chiembe

    Pre GE2025 Nimepita mitaa ya Lumumba, wamerelax baada ya mahasimu wao kuanza kutukanana wao kwa wao, mpango ni watukanane mpaka 2027

    Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu. Sasa inaangaliwa namna ya kuwafanya watukanane mpaka walau 2027
  2. Bams

    Lisu Kutia Nia, Kwa Nini Kelele Za Kuchanganyikiwa Zinatoka Zaidi CCM?

    Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
  3. Abdulrahmanyusuph03

    Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
  4. milele amina

    Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

    Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024. Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi. Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
  5. Nehemia Kilave

    Kuna mitaa zaidi ya 20 duniani inakwenda kwa jina la Patrice LUMUMBA, Nadhani Distinction iwepo kabla ya kutoa jina

    Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo . Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
  6. julaibibi

    KERO Mtendaji Kata ya Lumumba maji taka yamekuwa kero

    Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekuwa kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo. Tuwasaidie hawa watoto na wapita njia, imekuwa risk unalazimika kutembea kwenye lam unapigana mabusu na magari saa nyinginezo...
  7. GENTAMYCINE

    Mbwatukaji Mkurupukaji Wao leo Saa 4 Kamili Asubuhi anaenda Kuchafua Hali ya Hewa Lumumba

    Tujiandaeni kwa Maboko yake ya kama Kawaida kutokana na Kukurupuka Kwake Kiasili japo GENTAMYCINE natamani mno azungumzie pia kuhusu Kero ya Kukatikakatika kwa Umeme nchini kwa muda wa Wiki Tatu kama siyo Mwezi sasa.
  8. B

    Sherehe kubwa Lumumba, CHADEMA wakiparurana

    Misahafu inasema mwana mpotevu aliporudi kwa babaye, mwana mwema aliyekuwa kabakia Kwa babaye alichukia mno. Kwamba kwanini baba yao amfanyie sherehe mwovu huyo hali yeye alikuwa pale siku zote asifanyiwe dhifa yoyote? "Kwa hasira kali alisusa sherehe ya nduguye, akaondoka nyumbani na kutokomea...
  9. Nyankurungu2020

    Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

    Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika. Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine...
  10. GENTAMYCINE

    Mimi nilidhani mnawashtaki Wabelgiji ICC kwa 'Kumuua' Hayati Lumumba kumbe mlichoona cha Muhimu Kwenu ni kurudishwa tu Jino lake?

    Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961...
  11. F

    Kenya 2022 Prof. Lumumba kama Mwl aliyepishana na gari ya mshahara

    @ProfPLOLumumba prediction of "politics of hygiene" he thought @RailaOdinga lacked has afterwards made PLO a pseudapostle as a multimaterialist-Baba is poised for MAGUFULIFICATION OF HIS KENYA. PLO should come back to Nkrumah Hall UDSM to square his oratory!
  12. Madikizela

    Dhana ya kuitana Mataga, MABAVICHA, Lumumba au Ufipa

    Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana mantiki Kwa masilahi mapana ya Demokrasia ya nchi yetu hususani ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la...
  13. M

    Hesabu hii ndiyo inawaumiza Vichwa wa Magogoni na Chamwino na wale wa Kisutu na Lumumba kuhusu Gaidi wa Kusingiziwa

    1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama? 2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa? 3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025? 4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda...
  14. J

    Miaka 45 ya CCM: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kujiunga CCM ukilinganisha na wapinzani wengine

    Wakati tarehe 05/02/2022 CCM itasherehekea miaka 45 tangu kuasisiwa pia kitawashukuru wanachama wa Chadema waliouona mwanga na kuamua kujiunga na chama tawala. Takwimu zinaonyesha kuwa wanachama na viongozi wa Chadema ndio wanaongoza kwa kuunga mkono juhudi za CCM katika kuwaletea wananchi...
  15. Kulwanotes

    Chantal Kazadi kama Patrice Lumumba.

    Stori za muziki. Kwenye album ya Titanic yake JB Mpiana ya mwaka 1997 na Band yake ya Wenge BCBG Les Anges Adorables; kuna wimbo uitwao Baracuda. Katika wimbo huu namba tatu kwenye album hiyo, dakika ya 3:20, JB Mpiana anataja maneno haya 'Afrika sukisa Chantal Kazadi'. Unaweza usikiliza hapa...
  16. T

    Ngoma na miziki yote kwa sasa inapigwa Lumumba, Ufipa wamebaki kudemka tu!!

    Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni. Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka...
  17. Citizen B

    Naombeni kazi Lumumba

    Sifa zangu: Ni kijana mwenye uwezo wa kukesha nasifu Na kuabudu bila kuchoka. Naweza kubadilisha nyeusi Kuwa nyeupe. Ni muongo Sana Na naweza kudanganya bila kupepesa macho Nina uwezo wa kutunga propaganda Za akili Na maganda yake. Naambatanisha kielelezo kimoja. Wako mtiifu.
Back
Top Bottom