Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Wanaukumbi.
Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6.
Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka jeshini baada ya "kutambua wajibu wangu kwa kushindwa kwa IDF mnamo Oktoba 7, na katika wakati ambapo...
Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha.
Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
Ndugu zangu salaam sana..
Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.
Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2...
Mashindano ya Mapinduzi Cup yamejikuta katika sitofahamu baada ya Burundi na Uganda Cranes kujiondoa ghafla, kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa mashindano. Hali hii inatoa somo muhimu sana: "Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema."
Awali, Mapinduzi Cup ilitarajiwa kushirikisha...
Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga 😆 😆 😆 😆 😆 😆.
Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake
Nilijisikia vibaya sana mazee.
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa
Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini.
Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya.
Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali.
Walipoulizwa juu ya...
Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania.
Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu ya wapiganaji kumsaidia ASSAD.
Wasiwasi wangu ni hii nchi kuangukia kwenye machafuko ya kila mara...
Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa.
Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake
Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Nape Nnauye, amefanya mahojiano na kituo cha redio cha VOS FM na kuelezea matarajio ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, ambapo kampeni za uchaguzi huo zimeanza leo kitaifa.
Nnauye amesema...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo.
Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
Eti mwanamke hapigwi, hata akikutukana kwa madharau mbele za watu, watu wanasema "mache ondoka zako." Mara mwingine asema mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa kwa upande wa kanga. Na wao ndiyo wanatumia hii mbinu kutoa majibu ya hovyo ya kuudhi na kejeli juu kwa wanaume tena mbele ya kadamnasi...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo.
Pongezi ni kwa Trump, lakini tuna la kujifunza sote katika maisha maisha yetu ya kawaida
Pamoja na Trump na wengi tunaowasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.