Wanabodi
Merry Chritmas
Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter.
Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji kusaidiwa sana mitaji.
Ila nimesikitika kijana kushindwa kujua nahitaji nini hasa ili kilimo chake kipige...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.
Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo...
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi.
kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023
Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Hivyo hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote, taasisi yoyote, ana nchi yoyote kusaidiwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana.
Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa.
Msukumo huo unaweza...
Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani?
Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda.
Kosa hilo alipata kulifanya mfu mmoja na majibu yake ni bayana ndiyo yaliyo sababisha yaliyomo.
Hivi...
BRIGHT AND GENIUS EDITORS
Karibu Bright and Genius Editors tunatoa huduma zifuatazo:
1. Huduma ya kuhariri (kuedit) ripoti mbalimbali, propozo, vitabu, notes na barua mbalimbali.
2. Kuandika barua za kujitoa kwenye mifumo ya vyuo (Deregistration letters)
3. Kuandika barua za kuomba kazi.
4...
Kuna mjinga atasema kwamba, hata Ukraine anasaidiwa kifedha na silaha lukuki! Ni ujinga tu!
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakalooyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma.
Mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja kwa moja...
Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi.
1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini).
2:APP ya...
Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia...
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.
MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.