kumkosoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  2. Idugunde

    Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  3. BARD AI

    Afungwa miaka 5 jela kwa kumkosoa Mfalme Mohammed VI

    Mahakama imetoa adhabu hiyo dhidi ya Saïd Boukioud aliyekosoa uamuzi wa Serikali ya Mfalme Mohammed VI wa kurejesha na kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia na Serikali ya Israeli. Boukioud alikutwa na hatia ya kuhujumu Utawala wa Kifalme kwa kumpinga Mfalme hadharani tena kwa kutumia Kifaa cha...
  4. Idugunde

    Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

    Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini. Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia...
  5. Msanii

    Tumpongeze Rais Samia, lakini tusiache kumshauri na kumkosoa

    Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika Mashariki. Kwa dhati nampongeza waziri Bashe kwa kusimamia hili kwa mafanikio makubwa. Jambo la...
  6. CAPO DELGADO

    Nimpongeze MO hadharani na kumkosoa kidogo

    Habari Wana jukwaa. Nitaandika kwa KIFUPI Mno. NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU. Mchezaji Bora wa Simba kwa Miaka MIWILI Baada ya kuondoka Chama ni Henock Inonga. Inonga Amepata Jerahi...
  7. Pascal Mayalla

    Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, kwenye Ibara ya 18, iitwayo haki ya uhuru wa kutoa maoni, "freedom of expression" ni haki inayotolewa na katiba yetu lakini...
  8. Escrowseal1

    Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

    .Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge. .nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo 1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa...
  9. MK254

    "Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin

    Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
  10. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
  11. GHIBUU

    Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  13. GENTAMYCINE

    Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
  14. S

    Hakuna aliyeweza kumpinga au kumkosoa Hayati Dkt. Magufuli, tusiwalaumu watu ikapitiliza

    Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa? Tuseme ukweli tutajieni watu waliokuwa na uthubutu wa wazi kabisa kumzungumza, Mheshimiwa Magufuli zaidi ya kumsifu...
  15. Madumbikaya

    Je, Peter Msigwa aliwezaje kumkosoa ndugu yake Rais Magufuli?

    Peter Msigwa ulisimamia haki, Hukuogopa vikao vya familia na undugu wako na Hayati Rais Magufuli. Moja kati ya watu ambao wangeamua kuwa na kiburi basi ni Peter Msigwa angeweza fanya kiburi. Na hata angehamia CCM ndugu yake Magufuli angekupitisha Iringa mjini bila kupingwa. Hata ndugu yako...
Back
Top Bottom