Ni vyema kujua kiwango cha mkopo kinachofaa kuwa nacho. Hakuna jibu rahisi kwa hili kwa sababu hali ya kifedha ya kila mtu ni tofauti - na hii itaamua ni kiasi gani cha mkopo kila mtu anapaswa kukopa.
Kufanya tathmini hii kunahitaji kujua uwezo wako wa kulipa deni. Kwa maneno mengine, kiasi cha...
Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana.
Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free.
Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
Habari za muda huu wakuu, nende moja kwa moja kwenye maelezo mafupi juu ya swai langu.
Kwanza kwenye account yangu ya NMB kuna kama mil.3.5 hivi ambayo ipo kweny fixed accont. Sasa wiki iliyopita nilitaka kuitoa kwasababu muda wake wa kukaa kwenye hiyo account umeisha.
Kuna rafiki yangu...
Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana.
Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025.
Dkt. Nchemba amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa.
Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru.
Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana.
Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza.
Ahadi hiyo...
Unakaa na kutumia elimu ya PhD kuweka Kodi kwenye matangazo ya akina Juma Lokole! Mtu anapost kutangaza Shanga na Chupi halafu eti naye unamfikiria kama Chanzo cha Mapato!
Tumechoshwa na watu wanaokaa ofisini na kufanya kazi kwa mazowea. Kwanza ilipawa tuelezwe ni kigezo gani kitatumika kumpima...
Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini.
Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa...
Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa.
Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
Suala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla.
Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo.
Nimekuja...
Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi, hasa wakati wa Magufuli.
Miradi ya Magufuli aliyojivunia kutumia fedha...
Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe unanikopa huo ni upumbavu na ujinga! Kumpeleka demu wako picnic nayo unakopa! Kwenda kupigwa miti nayo eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.