kufahamishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  2. lee Vladimir cleef

    Naomba kufahamishwa namna ya kupika nyama ya kopo.

    Nawasalim kwa jina la TZ. Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo. Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa. Je ninaiandaaje kwa...
  3. GoldDhahabu

    Naomba kufahamishwa kuhusu PIXIE ORANGES

    Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima. Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu. Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO...
  4. passion_amo1

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi ya MILKSHAKE

    WAkuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa. Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya...
  5. GoldDhahabu

    Naomba kufahamishwa kuhusu "kunde" aina ya ngwara

    1. Kutahitajika kiasi gani kwa ajili ya kupanda eka 20? 2. Inapatikana wapi mkoani Mwanza au mikoa ya jirani? 🙏🙏🙏
  6. kikiboxer

    Naomba kufahamishwa mahali zilipo ofisi za Selcom kwa Dar es Salaam

    Salaam. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni. Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
  7. I

    Naomba kufahamishwa kuhusu associate

    Wakuu naomba anayeelewa kuhusu associate degree anifahamishe na inaweza kuwa equivalence na level gani ya elimu kwa hapa Tanzania.
  8. ndege JOHN

    Wapi nitapata orodha ya taasisi zote, mamlaka zote, Asasi za Kiraia, Non profit Organizations na Vyama mbalimbali?

    Habari za maisha wakuu, Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia. Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
  9. Adolph Jr

    Naomba kufahamishwa kuhusu baiskeli za umeme

    Ni muda sasa baada ya kusikia kuhusu vifaa hivi vya umeme (kuchaji)....Hivyo ninauhitaji navyo lakini ni bora kufahamu kuhusu vipengele hivi... 1:- Je baiskeli za umeme zipo tz na zinapatikana wapi dar au nyanda za kusini.. 2:- Kama zipo kampuni gani ni bora na imara...?. 3:- Gharama zake...
  10. N

    Naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in Water resource Engineering

    Habari wandugu naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in water resource Engineering
  11. Wababa13

    Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  12. Jorge WIP

    Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  13. babu kavu

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya vifuu

    Wadau habari zenu, Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia - Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani - Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache) - Kama Kuna ubora...
  14. T

    Naomba kufahamishwa

    Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
  15. Lanlady

    Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  16. D

    Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  17. Michael mbano

    Degree tatu huwa zinakuwaje?

    Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
  18. Lanlady

    Naomba kufahamishwa, utamaduni wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa viongozi waliokwishafariki ulianzia wapi?

    Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
  19. Fohadi

    Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  20. FRANCIS DA DON

    Naomba kufahamishwa machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi

    Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
Back
Top Bottom