Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye...
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .
Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .
Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko
Muwe na siku njema
vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini,
Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya hivi kwa sababu inatambua kuwa CCM ndio moyo wa Nchi,ndio itoayo Dira na muelekeo wa Taifa letu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa.
Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
Ndugu zangu Watanzania,
Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
Salaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye...
Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Katiba+Bendera=Mzalendo 🇹🇿
Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli.
Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na Mapungufu yake (ambayo hata Mimi na Wewe tunayo yetu) ila kwanini GENTAMYCINE nilimpenda na namkumbuka...
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.
1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo...
Ili taifa liendelee lahitaji wananchi na viongozi kuheshimu na kuziogopa sheria na wala sio kinyume chake" sheria kuogopa kundi fulani la watu(watawala )
Former security chief
China ex-railway minister
China's former justice minister
Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla.
Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina...
Kama ni Mwanadamu mbele ya Kioo, basi JK ni Kioo Cha Samia na Samia ndio JK linapokuja suala Zima la kiutendaji na Kiuongozi.
Safari za nje ,hivi Kuna Nchi JK hakwenda ? Ila Sasa Safari zao wote wawili, Ni upotevu wa Fedha za Wala hoi na misafara Yao mikubwaaa na Bado safari zenyewe...
Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi.
Pili...
IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayowajengea wanawake misingi bora ya uongozi katika ngazi mbalimbali ndio kikwazo kikuu kinachokwamisha ufikiaji wa usawa wa kijinsia katika vyombo vya maamzi nchini.
Hayo yameelezwa na viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba katika mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.