Hello JamiiForums, ni Kainetics hapa ivi. Kwenye thread hii fupi nitaongelea mambo ambayo ukiyazingatia, basi itakua ngumu sana Kutapeliwa mtandaoni kwa namna yeyote ile.
Mtandao ni sehemu kubwa na pana sana, penye muingiliano wa watu wa kila aina. Kama kuna watu wema na wenye nia nzuri, iko...
Hello wakuu,
Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania.
Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money"
Nimecheck...
Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging.
Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell.
Yaani ni kama uongozi...
Niende moja kwa moja kwenye mada ya kichwa cha uzi. Kadri siku zinavyokwenda idadi ya wanaofanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne, ule wa kidato cha sita, wale wanao hitimu mavyuoni ambao mwisho wa siku wanakua waajiriwa au wanajiajiri, au wapo tu mtaani, ni kubwa na inayoendelea kukua.
Ila...
Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa.
Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel...
Habari wana JamiiForums, na wadau wa humu kwenye Tech & Gadgets Forum nimeona sio mbaya leo kushare basics za Graphics Design kwa wale ambao wanafanya hii kitu tayari au wale ambao wana interest ya kutaka kuanza.
Nitaongelea mambo matano, Basics za Layout Design, Blocking, Typography na Colour...
Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing.
Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu...
Basi nadhani...
Habari wana JamiiForums. Leo nimeona sio mbaya nikjaribu kuongelea swala la hizi investment platforms ambazo zina claim kuwa unaweza zitumia kujiingizia pesa mtandaoni kwa kuwekeza nazo.
Kwenye pita pita zako online lazima utakuwa ushawahi kutana na link ya watu wanakushawishi kwenye platform...
Habari wana JamiiForums, kwa wanaume wenzangu ambao watakuwa offended na title ya thread, mtanisamehe kwa muda ila nadhani kufikia mwisho wa kusoma yote nitakayoandika; tutakubaliana kuwa hii ni kweli.
Kama wewe ni mwanamama, nadhani observations kadhaa wa kadhaa nitakazoorodhesha zitakuwa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.