Salaam jamiiforum
Hope mko wazima kabisa.wenye matatizo Mungu atatia wepesi.
Leo tukumbushane na kuwatazama watu hawa hapa,aisee,hawa tuwape kongole zao.
1.Wanaokaa na kusomesha watu baki.
Kuna watu wana mioyo aisee,yaani unakuta mtu alimchukua binti mdogo kama mfanyakazi wa ndani,siyo...