Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu
Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao.
Wasio na Pensheni.
Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau.
Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
Baada ya Bajeti ya serikali kupitishwa na kuanza kufanya kazi mwezi Julai, kuna fedha serikali itajipatia kwa njia ya mikopo. Kuna sehemu itakopa kutoka mashirika ya nje na nchi wahisani lakini kuna kiasi serikali itakopa.
Kukopa ndani ya nchi, ndiyo huwa Hati fungani/ Government bonds.
Tayari...
Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.
Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya...
Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani.
Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi hukopesha Serikali/kwa kumiliki hizo hati fungani....
Akauliza: Kumbe nako ni uwekezaji, unalipwaje...
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.
BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI
New Foreign Exchange Regulations Issued
Set foreign exchange limits for travelers
Restrictions for residents to maintain bank...
Habari ndugu zangu naomba wanauchumi wanisaidie vitu hivi
Nimejalibu kupitia bond investment calculator ya BOT, nimejalibu kuweka tsh mil 500,000,000 kwa muda wa miaka 25 na nikabofya calculate nimeletewa kama picha inavyooenesha, sasa hio faida ya kila mwaka wameipata kwa kuzingatia bid ya...
Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.
Mimi sio mtu wa biashara na pia...
Hati fungani ni biashara "kichaa" na watu pekee ambao wanawekeza kwenye hii biashara ni wale waoga wakupoteza thamani ya mitaji ya pesa zao. Mabenki, mashirika ya bima, mifuko ya mafao pamoja na mashirika mengine bila shaka hutumia njia hii ya uwekezaji ili kutunza mitaji yao pengine ni kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.