fedha za miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yampongeza Rais Samia kwa Fedha za Miradi ya REGRWO

    KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA FEDHA ZA MIRADI YA REGROW Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii...
  3. Pfizer

    Kamati ya bunge yampongeza rais Samia kwa fedha za miradi ya REGROW

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
  4. F

    SoC04 TAKUKURU inawezaje kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo ili kuzuia ubadhirifu na udanganyifu?

    Utangulizi Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
  5. K

    Nani anatoa fedha za miradi, Rais au Serikali kutokana na bajeti yake?

    Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe. Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko aeleza Kilimanjaro ilivyonufaika na fedha za miradi ya maendeleo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AELEZA KILIMANJARO ILIVYONUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO "Mheshimiwa Rais ametupatia fedha kwaajili ya ujenzi wa kuimarisha vituo vya afya na utoaji huduma katika Zahanati 35 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ametupatia Shilingi Bilioni 2.59 na Shilingi bilioni 4...
  7. S

    Nilishaeleza kwanini hatupaswi kuona ni kosa kwa Tanzania kukopa fedha za miradi kutoka nje, kwa kuwa tusipokopa athari zake ni hizi hapa

    Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi, hasa wakati wa Magufuli. Miradi ya Magufuli aliyojivunia kutumia fedha...
  8. Allen Kilewella

    Hivi nani anatoa fedha za miradi ya watanzania? Ni Rais?

    Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili? Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu?
  9. think tank01

    Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  10. Sir robby

    Awamu ya Kwanza hadi ya Nne serikali ilitoa fedha za miradi, awamu ya Tano na Sita anatoa Rais - kwanini?

    Wadau Nawasalimu. Naomba kupata Ufafanuzi juu ya Utoaji wa Fedha za Serikali kwenda kwenye Miradi ya Serikali. Kwanini Siku hizi Hatusikii tena kuwa SERIKALI imetoa Sh.kadhaa kwa ajili ya Mradi fulani badala yake ANATAJWA MTU kuwa katoa hizo Fedha Je hizo Fedha ni Zake Binafsi au za SERIKALI...
Back
Top Bottom