Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014.
Serikali ya...
Nilikua natuma picha zangu kawaida tu, na zinaonesha kabisa mimi ni mwanaume ila kilichonitokea ikabidi nifute account, pia nikajifunza Kenya kuna watu mafilauni wa waziwazi.
Yani mtu anakutumia meseji, “Et we ni mzuri, uko wapi?” Yani anakutongoza kama vile mtoto wa kike.
Miongoni mwa watu...
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp.
Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao
Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k
God bless you makizigibagi.
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu.
Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia .
Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu.
Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu...
KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK
Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti
Haina kipengele chochote sababu mimi nina kurasa zingine hivyo kuliko kubaki na kurasa nyingi hii nimeona...
Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook.
1. Kuanzisha...
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza maspika wote wa Dunia hii. Najiuliza anapata wapi muda wa kujipost FaceBook.
Wewe kama mwasheria...
Mimi ni kijana umri 26
Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma,
Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea,
Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili.
Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa
Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi,
Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata:
1. Badilisha nenosiri mara moja:
- Ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, nenda kwenye Mipangilio(settings) -> Usalama na Kuingia-> **Badilisha Nenosiri...
Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
Katika hali ambayo siyo ya kawaida leo nilijaribu kupost mada fulani katika mtandao wa Facebook lakini inaonekana wameu- cease message haziendi. Anyway hata hivyo lengo la maandamano limesomeka vizuri ingawa wanaoandamana ni askari polisi na hawataki yeyote kuandamana isipokuwa wao tu.
morning lovely 😍
naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please 🙏 😢
Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila pia quality inapotea Sana. Wataalamu mtupe maujuzi. Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.