Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana.
Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi.
Kuwadharau wananchi means ni...
Endeleeni kudhani mnavyowafanyia Wazawa/ Waswahili wenzenu na wananyamaza basi itakuwa hivyo hivyo pia kwa Wazungu hata kama Kampuni zao zilizoko nchini Tanzania zinaongozwa/ zinasimamiwa na Waswahili na wana Yanga SC Wenzenu.
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua limeazimia kutofanya kazi na Mapambano Mashini ambaye ni kaimu meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini na Vijijini (Ruwasa) wilayani Kaliua kwa madai ya kulidharau baraza hilo.
Uamuzi huo umesomwa kwa niaba yao na...
Salale
Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa.
Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa.
Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea!
Hivi chekechea mtoto anahitaji...
Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akakuombea mabaya ila Ndugu kuombeana mabaya hata Kufa Kwako ni Jambo la kawaida.
Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akawa Mnafiki dhidi yako ila kwa Ndugu Kukusanifu huku akikuchekea ni Jambo la kawaida.
Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akaona kuna Fursa...
Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao.
Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
RULE NO6; "Stop Contempt" ACHA DHARAU.
Anaandika, Robert Heriel
Nakuomba, jitahidi usome yote. Ni ujumbe utakaokufaa mpaka wajukuu zako;
Oooh! Watu wachoyo, ooh! Wanataka wafanikiwe wenyewe, oooh! Hawatupi mbinu na Siri za kutoboa. Ooh! Hatuna Pesa za kulipia vitabu au kwenda shuleni, wengine...
Wakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika...
Na Jumakilumbi,
15.10.2022
Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
Habari za saivi ndugu zangu.
Dhumuni la kuleta hii mada hapa ni ili kupata msaada wa kimawazo kuhusu binti mmoja tuliodumu kwenye mahusiano kwa miaka minne.
Kipindi tunaanza tulikuwa tukipendana, tulikuwa mkoa mmoja naye mkoa mwingine ila kila akitaka fanya jambo lazima anishirikishe. Akawa...
Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao.
Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa...
Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni.
Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.
Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue.
Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi...
Habari wakuu
Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.
Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using...
Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki.
Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya.
Kwamba haya yakiendelea ninyi mnakata tozo kama vile hamna akili nzuri? Hii ni dharau kiasi gani kwetu?
Au hadi mkutane nasi...
Creative Monster
Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi.
Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.