Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na
mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi.
Kwa kawaida, mauzo ya aina hii hufanyika kwa wawekezaji ambao wanaanza kuwekeza katika nyumba, viwanja na...
Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam.
Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;-
✓ Wapangaji na wenye nyumba.
✓ Wauzaji na wanunuzi.
✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo.
Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka
Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
Hello wakuu.
Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single
Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi.
Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari.
Msaada wenu.
Ndugu zangu habari za saa hizi.
Nimetimiza miezi sita sasa sina kazi. Nimetumia taaluma yangu kutafuta kazi lakini jitihada zangu hazizalishi matumaini. Shida ni kwamba sipo peke yangu nina mtoto ananitegemea.
Nimeamua nijiajiri kama dalali wa nyumba na viwanja. Kiukweli sijawahi kufanya hii...
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Manyara imemhukumu dalali wa biashara ya meno ya Tembo Bw.Bernard Masalu Mgalula (54) mkazi wa jiji la Dar es Salaam kutumikia kifungo cha miaka 20 baada ya kukiri kosa la kuhujumu uchumi kwa kukutwa na meno 13 ya Tembo yenye thamani ya shilingi milioni 240...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
Upangishaji wa nyumba au chumba unaendeshwa na Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999 , ambapo sheria hiyo imetaja wahusika wawili tu katika upangishaji.
Wahusika hao ni mpangaji na mpangishaji, sheria hii haijataja nafasi ya dalali, hivyo dalali anakuwepo kwa makubaliano kati ya mpangishaji au...
Ni mauaji ya yule kijana wa CCM kule Njombe.
Wagombea udiwani wawili na Katibu mwenezi wa kata wote wa CHADEMA na dalali wa mbao wamekamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu na kada wa CCM yaliyotokea huko Njombe.
Pamoja na wao pia gari la mtuhumiwa mmojawapo limekamatwa na...
NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA
Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje.
Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm
Kiwanja kina ofa na kimepimwa
BEI 50 million (negotiable)
Mawasiliano...
Kweli jamani kila mtu anatakiwa atafute riziki kihalali, ila vitu vingine vinaudhi, vinaumiza, niliamua kuwa mkulima kwa lengo la kujiongezea kipato, nikaamua kushirikiana na mzazi wangu aliyeko huko kijijini, tulianza kilimo cha viazi kwa kuanzia nilianza na hekari tano. Baada kulima kwa muda...
Umuofia kwenu.
Wadau wa sekta ya madini hususani mikoa ya pwani Kuna mwamba mmoja muongeaji Sana anaitwa siasa. Ni mtu wa mawe hasa gems nataka kufanya nae biashara Fulani huwa sometimes anakuwa na gems kibao na anatembea nazo Sasa naomba kufahamu uhalali wa hii biznes na usalama wa mtaji...
Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
Ccm wasijidanganye kuwa wazanzibar watakua kimya na mambo kwenda salama (muruwa) kwa kuwawaa nchi yao ili ifanywe wilaya 2 ya Unguja/Pemba na mkuu wa mkoa 1.
Hii plan ni ya kipindi kirefu tunajua na Huyu Mwinyi ni matayarisho ya kukukamilisha agenda hio kwa maguvu ya Magufuli.
Sisi...
Mbunge wa Igunga Dalali Kafumu anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kugawa milungula kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa JIMBO ili waweza kumpa kura kwenye mchakato wa uteuzi wa wagombea.
Heko kwenu takukuru lakini msiishie kuhoji tunataka kuona wakifikishwa...
Habarini wakuu poleni na majukumu. Ttwende kwenye mada.
1. Unatafuta chumba/kiwanja, ukaingia Jamiiforums ukaona tangazo la dalali na ametaja eneo na bei.
Sasa kuepuka kumlipa ile 10%
Kwakuwa unafahamu lile eneo wewe unaenda unaulizia mwenyewe na ukalipa direct kwa mwenye mali.
Je, hiyo ni...
Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye umri kati ya 24 na 26 alikuwa mrembo kweli. Mnene kiasi na mwenye chura kiasi. Alikuwa anajipenda...
Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako wewe kuingiza kipato cha ziada kwa commission
Jifunze leo kuhusu namna biashara hii inavyofanya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.