Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea.
-
Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono.
Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!
Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Habari wakuu,
Kuna huyu mdogo wetu kitaani hapa amemaliza chuo miaka kadhaa iliyopita ila yupo home Hana mishe za kueleweka. Sasa Mzee kastaafu na ameshachukua kiinua mgongo. Dogo amemwomba Mzee anunue gari ili awe anapiga mishe za taxi mtandao(Uber,bolt nk).
Chaguo lake yeye lilikuwa ni...
Habari Wana JF.
Thread hii inahusu KARIAKOO
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi mkija kariakoo hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine...
Habari Wana JF.
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine mnasema ndugu zenu wamewatumia namba...
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k.
Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia kama ilivyo kwa wafugaji waliofanikiwa sehemu kubwa ni wasukuma na wamasai, nikisema sehemu kubwa ya...
Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli.
Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa...
1. Watch Videos and Get Paid (Angalia Video Youtube na Ulipwe)
Hakuna pesa inakuja kwa kutizama wananzengo tufanyeni kazi jamani.
•Mara nyingi, wanakutaka uweke hela kwanza kabla wao hawajakulipa
•Wanakupa points ambazo huwezi kuzitoa, points zinazo onekana kama pesa
•Mwisho wa siku, umepoteza...
Wakuu habari .
Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo .
Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo.
Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi .
Maana at the age...
Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana.
GHARAMA:
1. Frame...
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.
Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)".
Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna...
Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo!
Kwa Nini Content ni Muhimu?
Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu bidhaa zako, wanajenga uaminifu kwa biashara yako.
Inaongeza Engagement – Watu wanapenda maudhui ya...
Karibu tukutengenezee logo nzuri kwa ajili ya utambulisho wa biashara yako. Kumbuka kwamba logo ni muhimu sana kwani inaonyesha seriousness, uhakika na pia ni utambulisho kwa biashara yako hasa wale tunofanya kazi online. Utalipia baada ya kufurahia kazi
Tupigie 0766771788
Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii itawawezesha wafanyabiashara wa vipuri kuorodhesha bidhaa zao, na wanunuzi wataweza kutafuta vipuri kulingana...
Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi?
Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako.
Tunatoa huduma za ushauri kuhusu:
1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.