Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.
HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.
Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka.
Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba.
Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake.
Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India.
Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅
Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite...
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo..
Vipi maoni yako? Je...
Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii.
Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo.
Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar wakati akitoa taarifa ya ziara ya kichama ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!!
Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za taifa na mbuga za wanyama.
Ni muhimu pia kuweka kwenye international airports, bandari (Boss la DP...
Mwenyekiti wa zamani wa Simba na FAT Adan Rage, amesema wataidai na kuipeleka mahakamani kampuni ya outdoor, Saifi store waliohusika na Kutundika bango lilitumia nembo ya Simba, kwani muendo huo ni wa kibiashara na wamejitangaza kupitia logo ya Simba bila ridhaa ya Simba wenyewe.
Mbobevu huyo...
Kwa mara ya kwanza Getafe wameuza jezi nyingi zenye jina la Mason Greenwood mgongoni ndani ya wiki moja kuliko walizouza kwa mchezaji yeyote katika historia ya klabu hiyo.
Mkopo wa Greenwood huko Getafe umepokelewa kifalme kuanzia kwa wachezaji wa Getafe, mashabiki na wafanyikazi kwa ujumla...
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
Walinzi wote wa Tundu Lissu
Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
Mzee Hashim...
Juzi nilipita maeneo ya karibu na Ubalozi wa Ufaransa nikaona bango moja limeandikwa "Kifo cha Imam Husain kinatukumbusha umuhimu wa Uhuru". Huwa nina kawaida nikiona mabango ya dini napendaga kufuatilia zaidi maandiko yale hasa kama kuna ujumbe ambao umenigusa wakati huo.
Ila kuna kitu zaidi...
Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.