Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara!
Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
Viongozi wa mila wa jamii za kifugaji, kwa kushirikiana na Mangariba Wilayani Kiteto, mkoani Manyara, wameanza kutekeleza mpango wa kitaifa wa kutomokeza ukeketaji, kwa kupiga marufuku mila hiyo
Kwa umoja wao wamewataka Mangariba kusalimisha zana zao kama njia mojawapo ya kutokomeza vitendo...
Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika kupambia jukwaa.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, Fortunatus Muslim amesema waliokamatwa Emanuel John...
Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa.
Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe"
Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
Zama amesema kuwa mumewe...
Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili.
Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM.
Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
Members poleni na mihangaiko.
Ndio tumetoka Kyela tunaitafuta Uyole. Njiani tulikuta kiwanda kizuri sana! Tukasimama kidogo. Tukaangalia-angalia ili kujua ni kiwamda cha nini, daa! hatukuona bango lolote.
Mara mlinzi akaja na kutuuliza shida yetu. Tukamweleza.
Jibu: "Ahaa hiki ni kiwanda cha...
Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara:
1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.