Napenda kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Ningependa kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Wakuu naomba kujuwa ikiwa ulifanya mtihani wa kurisit kidato cha nne na unahitaji kutumia cheti hicho katika mfumo wa ajira porta, unatakiwa uweke mwaka ulioanza shule na uliomaliza na namba ya mtihani na uambatanishe na cheti,
Je ukiweka mwaka uliomaliza shule na namba ya mtihani yakurisiti...
Habari zenu wadau
Najiandaa kwa ajili ya usaili wa written,practical na oral katika kada ya network administrator.
Ningependa kupata nondo za uhakika wa jinsi ya kutoboa usaili hususan kwenye kada yetu hii kwa wale wazoefu au waliowahi kuhudhuria interviews kama hizi, naomba mtusaidie
Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Habari za wakati huu…
Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed,
Ni social work haiusiani na community development...
Habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba nafasi OSHA kipengele cha Engineer II (PLANT) ina vigezo, uwe una bachelor degree in mechanical engineering na pia uwe registered as graduate engineer na ERB sifa zote hizo ninazo ila bado inagoma leo ni siku ya tatu naomba niwasilishe wakuuu mnipe msaaada.
Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia.
Katika harakati zangu za ugonga ulimbo baada ya kugraduate mimi na kipenzi changu "Fauzia" jina la uficho (comouflage)tulikuwa na mipango mingi sana.
Siku zote...
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting?
Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
Whether you’re looking for a government position, a private-sector job, or an internship, numerous online platforms help you find your ideal job.
With that out of the way, here are the leading job websites in Tanzania that make a difference in recruitment.
1. Kazi Portal
Kazi Portal is a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.