Waliopewa dhamana ya kupanga ajira mpya wametumia nafasi zao vibaya. Walimu wamepangiwa vituo hadi halmashauri za miji, manispaa na majiji ambapo walimu wamejaa hadi wanagawana topics. Mfano ni Ilemela wameajiriwa hadi wa masomo ya Sanaa kama Kiswahili, Geography, English n.k wakati walimu wapo...
Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira.
Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!!
Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!!
Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja...
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia.
Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?.
Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini.
Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu....
Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa.
Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni.
Thank you
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi.
Dkt. Dugange...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
Habari za muda ndugu zangu.
Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
Habari wadau,
Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga.
Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja.
Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini.
OK ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.