Search results

  1. peno hasegawa

    Huu mradi mwenye mawazo ya kuupongeza tukutane hapa.

    Sikiliza ,na tukutane tuujadili
  2. peno hasegawa

    EPC+ F , hii miradi iliishia wapi? Au tulitapeliwa?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  3. peno hasegawa

    Usafi wa mazingira umeshindikana Huko Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango ya send off party ya Binti wake wa KAZI na kujiandaa kwenda kugombea ubunge huko songea.
  4. peno hasegawa

    Hali ya usafi wa mazingira mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro ni mbaya

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo
  5. peno hasegawa

    Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  6. peno hasegawa

    Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

    Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa. Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu...
  7. peno hasegawa

    Mh. Morris Makoi mwenyekiti wa Halmashauri Moshi , mbunge wako Prof Ndakidemi anakuona unachokitafuta Jimboni kwake.

    Kila siku Morris Makoi, uko Jimboni kwa Prof Ndakidemi!! Umesahau kuwa mbunge wako Prof Ndakidemi bafo ni mbunge halali na muda wake bado. Makoi, CCM na vyombo vya usalama wanakuona na wanakusalimia.
  8. peno hasegawa

    Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
  9. peno hasegawa

    Mafuriko yaukumba Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera

    Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji Ijumaa, Mei 10, 2024 Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba. Muktasari: Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
  10. peno hasegawa

    Kumbe ni wale wale 🫢

    Mara yule ni fisadi!! Ni wale wale
  11. peno hasegawa

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi Nina ujumbe wako!! Ninakupataje?

    Mwenye mawasiliano ya Dr Nchimbi tafadhali! Au kama yupo humu Jf ili niingie PM nimtumie!! Ni ujumbe muhimu kwa chama changu Cha Mapinduzi.
  12. peno hasegawa

    TANZIA Mzee Isaac Mowo afariki Dunia

    Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
  13. peno hasegawa

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso fika wilaya ya Chunya, kata ya Makongorosi, kijiji cha Itumbi, wananchi wanakunywa maji yenye sumu ya Mercury

    Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,. Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo. Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo. Watu wanajisaidia...
  14. peno hasegawa

    Leo ni Mei Mosi, tujiulize wote watumishi wa Umma: Ni nani alianzisha "Kikotoo" na ni nani wa kukiondoa?

    Karibuni!! Ila ninahishi CCMhuwa inazalisha tatizo likiwa kubwa wanaliondoa, wanajipongeza kwa kuliondoa.
  15. peno hasegawa

    Maafa ya mvua Moshi: Watano wafariki Dunia wakiwemo Watoto watatu wa familia moja

    Maafa ya mvua tar 25/04/2024 mkoa wa Kilimanjaro. Kata ya Kimochi s/m Lyakimbila VIFO 1. FREDY GAGALA DRS 1 2. ANGEL CHAKI DRS 7 3. EDWARD CHAKI F II KOMAKYA SEC. KATA YA MBOKOMU FUKENI SHULE YA MSINGI Kifo Cha mwanafunzi Joram Peter kimambo darasa la 5. Miili yote IPO Mawenzi hospital...
  16. peno hasegawa

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula. Angalizo.
  17. peno hasegawa

    Serikali iunde Tume huru ya kuchunguza kifo cha Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G

    Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe Wala wasishiriki. Pili kijana huyo asizikwe hadi uchunguzi utakapo malizika.
  18. peno hasegawa

    Makalla: CCM nafasi zote zipo wazi isipokuwa ya Urais

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT. Akizungumza leo Aprili 20 hapa Songea mkoani Ruvuma, Makalla amewataka wana CCM kuhamasisha Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu...
Back
Top Bottom