toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 5,883
- 10,376
Daah ngoja nikaushe…ila wanawake wapo wengi tu mzee unajizingua mwenyewe
Huenda Buana Maake Nna Muda Sana Sijawai Kupata wa Kunipenda na Vijisenti Vyangu Hivi...!! Hadi Siamini Hii Kauli ya Tafuta Pesa ili Upate Pisi za Kuishi Nazo...!! Labda Ununue Malaya wa Kulala Nae TuAngalia kama kuna mwanamke alikupenda sana na wewe hukumpenda case Yako itaanzia hapo..
Huyo mamayake ni mwanamke wa mtuMuongezee tena bimkubwa achana na wanawake wa siku hizi wengi ni malaya.
Mwanamke hana faida yoyote kwako zaidi ya vizinga na kuja kulikojolea shuka lako wakati wa mnyanduano
Huyo mamayake ni mwanamke wa mtu
Mkuu hujasoma kisa mchezaji wa zamani wa Cameroon Jeremy Njitap pamoja na maokoto kaishia kulea watoto wa ex wa mkewe.TAFUTA KIBUNDA
TAFUTA PESA
TAFUTA HELA
TAFUTA MAVUMBA
TAFUTA UMATE UMATE
Kuwa na hela kijana halafu njoo tena uone kama kuna mtu atakukataa
Token uzaliwe hereKaka Kwa Story Nazopewa na Washkaji Zangu Kupendwa na Kudekezwa Inaonekana Dhahiri ni Raha Sana ila Robot Haliwezi Kufanya Hivyo...!! Hii Mada sio Kwamba Nakosa Kudinya ila Love Kama Nayoona kwa Washkaji Hio Mie Sijawai Kuipata Tokea Nizaliwe
Huyu sasa kesi yake sio kupata upendo wa kweli huyu hata mapenz ya uongo hapati ndio maana nimemwambia atafute hela watakuja tuMkuu hujasoma kisa mchezaji wa zamani wa Cameroon Jeremy Njitap pamoja na maokoto kaishia kulea watoto wa ex wa mkewe.
Hawa viumbe hawatabirikiHuyu sasa kesi yake sio kupata upendo wa kweli huyu hata mapenz ya uongo hapati ndio maana nimemwambia atafute hela watakuja tu
Hatari Mkuu 🙌Mpaka leo tunapanda daladala, Robot la Musk bei yake ni zaidi ya vigari vyetu vya mitumba ya kijapani.
Yaani mzee unaweza kumnunulia mtu IST then unalalamika hakuna wa kukupenda Duu hilo tatizo aimaanishi kuwa pesa kuzitumia kama silaha maana utaokota malaya lakini Talking Pesa itself yaani ukiwa na swaga kidogo za kawaida ukajumlisha na pesa ina act kama kirainishi kufanya mambo yawe automatic sasa wewe inawezekanaje aise usipate wa kukupenda.Zingine Atatoa na Mshua Au Sio😂....!! Mshua na Bimkubwa Ote Wanatumia Viinua Mgongo Vyao Kuishi Maisha Yao Lakini Nikiwa Kama Mtoto wa Tatu Juzi Hapo Before Ramadan Niliwaongezea Gari Ist Kama Kupata Baraka Kutoa Kwao
Hata wanawake anaowahonga wana baba zao na mabwana zaoHuyo mamayake ni mwanamke wa mtu
MmhUkiona hivyo hao hawajatoka kwa ubavu wako,tulia subiri alietoka kwa ubavu wako
Ndani ya huu mfungo wako ,jitahidi kumshirikisha Allah!pia kwa hili.
Ramadhan qareem
Sure mzee umeongea ukweliMuongezee tena bimkubwa achana na wanawake wa siku hizi wengi ni malaya.
Mwanamke hana faida yoyote kwako zaidi ya vizinga na kuja kulikojolea shuka lako wakati wa mnyanduano
Napenda kaka unachangia nyuzi nyingi mnoKwa Dunia ya sasa nakushauri ujipende wewe mwenyewe.
HOTOJUTA!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Tabiabza kilabkeGUBU ??
MDOMO MCHAFU ??
UBABE ??
KUTOKUJALI???
UCHOYO??
UBINAFSI??
Sasa mbona umeorodhesha tabia common za wanawake ?GUBU ??
MDOMO MCHAFU ??
UBABE ??
KUTOKUJALI???
UCHOYO??
UBINAFSI??