Shammylovie
Member
- Jan 12, 2024
- 41
- 78
Kama anaweza kutafuna vzr na akameza bila shida yyte bas n sawa ... Angalia ulaji wake upoje kama ztampa shda wakat wakula tafta kngne jamii ya samakiVipi dagaa wabichi tukiwakaanga na mtoto akala ina shida ama ale wakuchesmhwa ?