Vijana kufanya kazi ya saidia Fundi mwisho mwaka mmoja tu zaidi ya hapo unatakiwa uwe fundi au uachane nayo

Hakuna kazi inakera kama saidia fundi,hela ndogo kazi rundo na mwisho wa kaz uoshe vifaa!miaka hio niliwahi mshusha fundi jukwaani maana alinicha mchanga eti nichangamke,alijikuta yuko chini na tangu hapo ukawa mwisho wa kaz izo
 
mdogo wangu amekuwa saidia fundi kwenye electronics kwa miaka miwili na sasa ana ajira nyeti kwenye kampuni tamu na mshahara upo juu.......haijalishi muda gani mtu takuwa chini ya mtu fulani muhimu ni apate skills zinazohitajika

Personally nilikuwa saidia fundi (kujitolea kwenye kampuni ya Uhasibu na ukaguzi) kwa miaka mitatu leo nahama Taasisi nitakavyo
 
Back
Top Bottom