Vijana kufanya kazi ya saidia Fundi mwisho mwaka mmoja tu zaidi ya hapo unatakiwa uwe fundi au uachane nayo

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,993
13,035
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi

Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,

Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza ufundi..

Kinyume na kuendelea kuwa saidia fundi tu miaka na miaka ni kupoteza malengo..

Hakuna aliyepata mtaji kwa kazi ya saidia fundi kama wapo ni mmoja kwa kumi.
 
Kama mtu anaweza kukaa miaka 10 bila ajira na anaendelea kua na matumaini inakuaje mwenye saidia kazi afanye kwa mwaka moja akate tamaa..........nyie vijana wa miaka ya 2000 mtapotosha wenzenu.
 
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi

Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,

Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza ufundi..

Kinyume na kuendelea kuwa saidia fundi tu miaka na miaka ni kupoteza malengo..

Hakuna aliyepata mtaji kwa kazi ya saidia fundi kama wapo ni mmoja kwa kumi.
Hiyo ni sahihi kabisa,Kuna miaka mimi nilikuwa apeche alolo,Dili zangu zote zimegoma nikawa nazunguka na fundi umeme ndani ya kipindi kifupi nikawa nimemaster vitu vingi sana. Ningezunguka naye mwaka Mmoja tu huu umeme wa nyumbani ningekuwa napambana nao.
Yawezekana hao saidia fundi wanaofanya Kwa miaka mingi ni either hawana malengo ya wao kuwa mafundi(wanapambana kutafuta mkate wa Kila siku) au vichwa vigumu.
 
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi

Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,

Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza ufundi..

Kinyume na kuendelea kuwa saidia fundi tu miaka na miaka ni kupoteza malengo..

Hakuna aliyepata mtaji kwa kazi ya saidia fundi kama wapo ni mmoja kwa kumi.
Ni sawa na kumwambia nurse baada ya mwaka mmoja awe daktari kamili.
 
Shida nyingine ni kwamba huyo fundi anayefanya nae kuna mda nae anakaa bila kazi sasa unategemea kibarua atajifunza sangapi

Shida mambo mengi yanasemwa bila kuzingatia uhalisia ila ungekuwa umepita huko au una jamaa yako huko ungejua uhalisia
 
Kazi nyepes kwenye ufundi kujifunza ni kupiga rangi tu. Mm nilifanyaga hizo za Zege, kuweka tiles lakin siwez kusema ni rahis kumaster unless ukate miaka. Mana Kuna uncertainty nyingi sana.

Hoja yako ni nzuri pia. Wengi wenye mawazo chanya wanakimbilia ubodaboda
 
Huna akili ..

Yaani unafananisha Nurse na Saidia fundi ?

Kuchanganya matope hakuna taaluma yoyote hata chizi anafanya.
Ufundi usifikiri utani wa Sasa hiivi watu Wana Jenga nyumba ramani very complicated.Fundi anatakiwa kujua kusoma ramani kwanza na kuijua vizuri na kipi kinahitajika wapi.Kazi ya fundi sio kupanga tu tofali
 
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi

Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,

Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza ufundi..

Kinyume na kuendelea kuwa saidia fundi tu miaka na miaka ni kupoteza malengo..

Hakuna aliyepata mtaji kwa kazi ya saidia fundi kama wapo ni mmoja kwa kumi.
Ni sawa na kumwambia nurse baada ya mwaka mmoja awe daktari kamili.
Huna akili ..

Yaani unafananisha Nurse na Saidia fundi ?

Kuchanganya matope hakuna taaluma yoyote hata chizi anafanya.
Pale kuna ratio dogo sio unachanganya changanya tu.
 
Back
Top Bottom