Atakayetoa taarifa sahihi ya kupatikana Mzee Michael Juma, zawadi Tsh 500,000/ au zaidi

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
786
764
Mtakumbuka mwaka 2018,April niliweka hapa jukwaani mada isemayo Anatafutwa Mzee Michael JUma Mkazi wa Mtwara na Masasi.

Kiufupi kwa wale ambao hawakupitia uzi huu mda ule Ni kuwa huyu Michael Juma alikuwa Ni Askari magereza katika gereza la musoma miaka ya 80S.Alikwa na Mke anaitwa Mama Ana(bahati mbaya hatukupata jina la huyu mama maana huyu ANA Ndo mtoto wao wa kwanza kuzaliwa)Huyu mzee alikuwa Ni mmakonde wa Mtwara na alikuwa anasema wazazi wake baade waliamia mtwara mjini kutokea Masasi.Mke wake huyu alikuwa Ni mnyiramba kwao singida na inavyoonekana aliamia musoma toka gereza la singida na huyu Mama ANA.Lakini pia kwa mjibu wa mtoa taarifa wetu Ni kuwa kwenye miaka ya 1989 au 1990S aliacha kazi na kurudi kwao mtwara na kujishugulisha na kazi ya fundi seremala maana yeye kazini kwake alikuwa kwenye section hiyo.Bahati mbaya pia hatukuweza kupata jina lake la ukoo au Kijiji alipokuwa akitokea either Cha masasi au mtwara.

KWA NINI ATAFUTWE?Anatafutwa ili kijana wake apate kumjua na pia Kama Yuko hai amuhudumie maana kwa Miaka hiyo huyu ndugu yangu hakuwahi kumwona na hamjui mpaka sasa Ni mtu mzima mwenye maisha yake binafsi na kinachomtesa Ni watoto wake wanasumbua juu ya babu yao.

Tumeshafanya jitihada kubwa kumsaka bila mafanikio Mara ya mwisho tukipata taarifa toka kwa mtu alikuwa anafanya nae kazi mwaka huu apo tabora alitueleza alikaa mda baadae yeye akahamishia tanga kumbe hapakuwa Tena na mawasiliano na kipindi hicho mawasiliano yalikuwa Ni shida adi muonanapo Ana kwa ana tofauti na sasa.Kwa sasa huyu aliyepata kufanya nae kazi Ni mstaafu anachokumbuka tu Ni jina.Pia tulifika alipokuwa anafanyia kazi bila mafanikio kutokana na mda kwenda na mfumo wa utunzaji kumbukumbu wa mda huo.

Tunaomba kama Kuna mtu ana A,B,C juu ya andiko hili au ata Ana,ndugu wa karibu ,au watoto wa Ana Kama Mungu alimjalia na watu wote wenye mapenzi mema watujulishe na Zawadi itatoka siyo ya kusubilia Ni papo kwa papo cha msingi utupe uhakika wa taarifa sahihi. Najua JF Kila siku wanaongezeka members wapya na hii inatufanya tuje apa Mara kwa Mara.

Naomba tu matapeli wakae pembeni maana Kuna mda nililipoti apa juu ya mmoja wao akitaka kutuchezea(nafsi hiyo haipo Tena)tunafanya analysis Hadi tujiridhishe Ndo unapewa pesa yako bila shida.Asanteni,Tutafute kupitia 0789443404/0762364740
 
kama uko serious weka 1m mezani ndani ya week nakupa info zake zote.

reason ya kuongeza dau ni sabab hela sitokula peke yngu
 
Ngoja nipite kule maana naona suala la mtoto wa mchepuko kumtafuta Baba yake. Ila mkuu huoni kama unaenda kuvuruga ndoa ya watu?kisa watoto wanamuulizia Babu yao
Kaka ndugu yako Ni ndugu yako tu,watoto wote Ni sawa mbele ya mungu,hatuna Nia ya kuharibu chochote na Wala hatutaki ata chochote Cha mzee tunataka kumjua alipo mengine atachagua mwenyewe Kama yupo hai
 
Wa nje sio watoto bali wavurugaji wa amani za ndoa. Kutana na mchepuko jeuri utachukia kila kitu kinachotoka tumboni mwake. Napita vileee maana NAWACHUKIA SANA SIDE KIDS.

Mimi sio kaka ni dada,mama,bibi
Kaka ndugu yako Ni ndugu yako tu,watoto wote Ni sawa mbele ya mungu,hatuna Nia ya kuharibu chochote na Wala hatutaki ata chochote Cha mzee tunataka kumjua alipo mengine atachagua mwenyewe Kama yupo hai
 
Ukifanikisha hili itakuwa ndugu wa karibu kuhusu pesa Haina shida
Hapo kama una connection na watu wa magereza hasa makao makuu au kama unajua kituo chake cha kwanza cha kazi basi inakuwa simple kumpata japo ni process inayoweza chukua 3 to 7 days.

ukishafika kituo chake cha kwanza cha kazi utaonana na mkuu wa gereza au kama hutaki mambo mengi unaweza kuongea na mtu wa record huyo atakupa info zote kuwa mzee wenu alihamishiwa wapi na pia kuna utaratibu wa kusave warithi hivyo hapo utapata pa kuanzia kwa ku trace warithi kama watoto na mke na mhusika mwenyewe.

muhimu tu kupata hizo info ni lazma uwapoze ili wakufanyie na kukupa hizo info kwa haraka japo ukienda mkono mtupu na kama si mzungumzaji au hujuani nao italuwa ngumu sababu huwa hawaruhusiwi kutoa taarifa hizo kwa mtu pasipo kibali

kama uko dar nna connection na watu wakubwa magereza so itakuwa simple kukusaidia ila kama uko mkoani aanze na hizo hatu utakapofikia karibu dm
 
Naomba unibipu kaka
 
Back
Top Bottom