muhandiss
Member
- Apr 24, 2024
- 71
- 112
Oya chief mbona unanikosea adabu! Mimi ni mwanaume bana! 🤦🏾🤦🏾🤦🏾sawa bibie
sasambona unaaibu zakike?kwanini unaziba uso sasa😁😁😁😁Oya chief mbona unanikosea adabu! Mimi ni mwanaume bana! 🤦🏾🤦🏾🤦🏾
Labda kwa tafsiri unayohisi wewe! Narudia tena, mimi ni mwanaume.sasambona unaaibu zakike?kwanini unaziba uso sasa😁😁😁😁
Anne kahamia mjini kwenye mabiriyani😂Wajomba zake na Saint Anne