cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,996
- 139,744
Ili maharage yalainike, ndo maana wanaweka magadi.Ni kitamu mno..hakuna mfano...
Huwa wanaweka na yale magadi yana rangi kama kaawia hivi...
Uwueeeeh!!!!
Ili maharage yalainike, ndo maana wanaweka magadi.Ni kitamu mno..hakuna mfano...
Huwa wanaweka na yale magadi yana rangi kama kaawia hivi...
Uwueeeeh!!!!
Nazionaga tu YouTube kwa wazungu kumbe bongo zipo😆T bon
Viazi umekata mapande makubwa, ungekata vidogo vidogo.
Hujaona star tv kuna wahindi wanauza dawa za vitambi😆
Vingerojeka.Viazi umekata mapande makubwa, ungekata vidogo vidogo.
🤣🤣 sijaona hiyo channel hata sijui iko namba ngapiHujaona star tv kuna wahindi wanauza dawa za vitambi😆
Acha michezo wewe 🤣🤣Nazionaga tu YouTube kwa wazungu kumbe bongo zipo😆
Lightysh 😂Kije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
Ujue nikiona umepost michemsho najua upo kwenye dietKije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
Minyama yote hiyo jamani, naomba nihamie kwenuKije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
Yes ni kweli vingerojeka, kwenye dagaq zipi? Mchanga au nyasi?Vingerojeka.
Viazi vidogo katia kwenye dagaa ndio inakuwa fresh
Mpaka juu kabisa 🙈Mwenyejii unashibaa kwelii?
Haha vibanzi ndio nini kwanza?Ujue nikiona umepost michemsho najua upo kwenye diet
Ukitupia picha za vibanzi unanichanganya😂
Minyama yote hiyo jamani, naomba nihamie kwenu
Kitambi cha nyama hata hakinaga shida!🙈Kije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
MchangaYes ni kweli vingerojeka, kwenye dagaq zipi? Mchanga au nyasi?
Mbona kichefu chefu italetaa.
Mniandalie mgeni, me nakuja tu na tumbo languUsisahau mabegi na shuka
Chipsi😂vibanzi ndio nini kwanza?
Anasingiziwa nyama tu wakati bia ndo mharibifu😋