Wacha weeYan sahvi kila nikila kiepe nakukumbuka
Ila kama ni kula maisha wewe hornet unakula
Dr unapambana kumaintain Ile hourglass physique
Kawaida mkuu mara nyingi nakua nje ya nyumbani so lazima nile mtaani😅Ila kama ni kula maisha wewe hornet unakula
Usizingue 🙂had kesho mchanaa, ntakuonesha portion angu.
Nimehamia michelin siku hizi...so najaribu kubalance balance kidogo!😶🌫️😁Dr unapambana kumaintain Ile hourglass physique
Huo mchicha mi weza kula peke nikawaachie utumbo wenu
Savanna hiyo si Ni ya wanawake 😊😊
Kwani mi mwanaume?Savanna hiyo si Ni ya wanawake 😊😊
Hapana najuaga ni za wadada Kama nyie 😊 sisi zetu konyagi, Hanson choice e.t.cKwani mi mwanaume?
Mkuu kumbe wewe Ni mpishi mzur