Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

KWA WALIO SERIOUS WANIPM TUYAJENGE

Naishi : GAMBOSHI.
Umri Wangu : Miaka 35
Kazi : JAMBAZI SUGU
Rang i: Black
Dini : Mkristo
Kabila : Mfipa
Elimu : Nimeishia Darasa la nne B
Urefu : 165cm
Blood Group : O
Hobbies : Kufanya mapenzi na wanawake warembo, music,kuogelea
Email : Parabora @Jambazi.co.tz

Ninaye kutafuta:

Dini: Yoyote
kazi: yoyote
Umri: 21- 28
Awe mjasiri na ataielewa kazi yangu

MALI NINZAOMILIKI.
Mashmba kila mkoa,
Mgari ya kifahari 23,
Nyumba 72 zikiwemo ghorofa 5.
Kampuni 3 moja ya Electronics.
nina balance ya Tsh. 15B bank

N.B kutokana na kazi nakaa nyumba ya nyasi huku GAMBOSHI

WAPAMBE ZANGU
Depal Khantwe Khaar Charl Khan Hannah Dinazarde
 
Mwenzangu nina refresh kila muda naona empty
Ama nimekosema kuandika ningesema nina chura kama la sanchi eti?
Msaada matron

Sent using Jamii Forums mobile app
hamna bana you're so beautiful just the way you are. Afu chura kama la sanchi lile dah, sijui mi naona kama ni mzigoo, ila watakuja tu na usisahau kuleta mrejesho na ukipata wengi tupasie na sisi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emoj zimenivunja moyo
Hebu njoo pm huko , nina 18 yrs elimu degree 2 ,mweupeee , nina nyumba 5 na gar muingereza 3 hebu njoo baby tuyajenge na mm mzuri haswaa si unajua wamarangu tulivyo

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Hebu njoo pm huko , nina 18 yrs elimu degree 2 ,mweupeee , nina nyumba 5 na gar muingereza 3 hebu njoo baby tuyajenge na mm mzuri haswaa si unajua wamarangu tulivyo

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Khaa, hii CV editing ni hatari, utafanya wachumba wote waje kwako jamani, sisi wengine tutaponea wapi sasa,miaka 18 una degree 2, ulianza kusoma ukiwa tumboni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom