Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Natafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatimaye maombi yangu yanaanza kujibiwa.! Imaginie sifa za mwanamke ambaye ninamtaka awe mke wangu umezitaja zote. Basi naomba uhesabu kuwa umepata mume. Mie naishi Kinondoni studio


Happy dude
 
Umri miaka 45
Kazi: mzibua mitaro
Elimu: std 7
Naishi gamboshi shinyanga.
Nahitaji mwanamke miaka 14 to 18.
Awe mweupe peeee
Kabila asiwe mzaramo.
Elimu awe japo la saba.
Nimejenga nyumba mbili za miti.
Mwenye sifa stahiki naomba anifuate PM popote alipo nitamtumia nauli aje.

GOD is GOOD
 
Umri: 25
Elimu: form six nilifeli
Kazi: mtumishi serikalin
Dini: muslim
Urefu: 5'7ft
Uzito: 70
Mwembamba
Hela ipo
Mahitaji:
Baby mama
Asiwe mnene
Awe mweupe
Awe anatazamika
Hela iwepo
Awe mikoa mmojawapo mwanza,kigoma,kagera,shinyanga na katavi
Uwezo wa bao tano kwa day
Wenye pesa watapewa kipaumbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa zangu
1. Umri: late 30's.
2. Dini: Christian
3. Elimu: graduate
4. Kazi: muajiriwa

Sifa za mwanamke nimtakaye

1. Umri: 30 - 40, lakini akiwa chini ya 30 pia anakaribishwa.
2. Dini : Yeyote ile ikiwa tofauti na yangu tutajadili.
3. Elimu :Kidato cha 4 na kuendelea
4. Kazi: awe mwajiriwa au kujiajiri/ mjasiria mali au biashara
5. Mengineyo: akiwa hana mtoto haina tatizo LAKINI akiwa na mtoto/ single mom pia anakaribishwa LAKINI mtoto asizidi mmoja na asiwe na uhusiano wa karibu tena na baba ya huyo mtoto, hilo ni muhimu kuzingatia.
 
Umri :28
Kazi: Mfugaji
Mahara:Tarime
Elimu :tangu mvua iliponyesha kubwa nikawa nimemariza hivyo
Sababu: Nirie kuwa naye alikuwa ananipikia dagaa Mimi naacha era ya nyama Nika mgecha na taraka juu nataka mwingine g'ombe za mahari zipo nyingi masharti ajue kupika nyama asiziunguze na nisirare njaa
 
Umri : 30
Kazi: biashara ya mbao
Elimu: form six chuo sikumalizaga baada ya kunogewa na vihela
Makazi : kusini mwa Tanzania
Dini: mkristo ,Lutheran
Kuzaliwa: first born
Nyumba : ipo
Gari : lipo ( baby walker)
Mahusiano: toka mchumba wangu nliekua nae chuo aolewe sikuwah kua na serious relationship

Nimtakae

Umri 25- 30

Umbo asiwe mnene
Dini yeyote
Elimu angalau kuanzia form four
Awe ameajiriwa / kujiajiri
Kwao wawe na uwezo wa kujitegemea ( ZINGATIA )

Alie serious aje pm nimfayie interview ya kiintelijensia




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom