SoC03 Ushoga, Usagaji na Talaka, wanawake rudini katika misingi ya kulea familiya kama jukumu mlilopewa na Mungu

Stories of Change - 2023 Competition

Fannjosh

Member
May 28, 2016
35
46
UTANGULIZI

Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi.

Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata katika jamii zetu. Pia tunaona kwamba majanga haya yanaongezeka kwa kasi sana na lengo kubwa ni kutengeneza kizazi cha ovyo kuanzia kwa Watoto wadogo ili waanze kujifunza mambo ya ovyo mapema na wakiwa watu wazima waone kuwa ni mambo ya kawaida.

Kwa mfano: Kwa utafiti mdogo niliofanya mimi mwenyewe, nilibaini kuwa, baadhi ya wanawake wanaona talaka ni jambo la kawaida sana na hawaoni shida kuingia kwenye ndoa na kutoka muda wowote. Wamesahau kuwa, kuvunja ndoa ni kitu kibaya na hatari kwa Familiya na Jamii kwa ujumla. Hii ikapelekea nikumbuke maneno haya....

"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe."

Hakika mwanamke ana jukumu kubwa sana la kulinda na kujenga nyumba yake, kuanzia kwa watoto wake, mume wake na wote walio katika nyumba yake.

Siku hizi akina mama wengi wametoka katika MSINGI huu wa kujenga nyumba zao na kuanza kuzibomoa kwa tabia na mienendo yao mibovu. Wengi wamekuwa na dharau kwakuwa wana elimu, pesa au vyeo kuzidi waume wao. Wengine wamekuwa bize sana kuliko waume zao na kukosa kabisa muda hata kidogo wa kukaa na watoto ili kuwafundisha maadili mema.

MFANO:
  • Mwanamke hakumbuki siku aliyopika chakula cha Mume wake.
  • Mwanamke hakumbuki lini kafua nguo za Mume wake hata mara moja kwa wiki.
  • Baadhi hawakumbuki lini wametandika vitanda wanavyolala na waume zao
Akina mama! Muda umefika rudini katika misingi ya utiifu na unyenyekevu katika ndoa zenu ili kupunguza Talaka zisizo za lazima.

Hata kama mke una mali nyingi kuzi mume, hata kama una fedha kuzidi mume, hata kama una elimu kuzidi mume, hata kama una vyeo kuzidi mume, tambua wewe ni mwanamke unapaswa kumpa mwanaume kile anacho stahili na kutoa muda wako katika kulea ndoa au familiya yako.

Pia, mwamke akumbuke kuwa ana jukumu kubwa la kuwa mlezi mkuu wa Familiya yake ili kuhakikisha anatengeneza kizazi bora.
Siku hizi baadhi ya wanawake hawapendi tena kazi hii ya kulea watoto badala yake hutumia muda mwingi sana katika kazi zinazowaweka nje ya nyumba zao kuanzia asubuhi hadi usiku.

Hali hii husababisha watoto wadogo kulelewa na wajakazi wa ndani pamoja na shule wanazosoma. Mbali zaidi.. baadhi wamethubutu kupeleka hadi watoto wenye mwaka mmoja wakae shuleni ili wao waendelee na kazi zao. Matokeo yake mtoto hapati tena malezi bora ya mama yake bali anapata malezi machafu na kujifunza tabia chafu pale anapolelewa na watu wenye nia mbaya.
  • Mtoto anamwona mama asubuhi hadi asubuhi inayofuata
  • Mtoto hakumbuki lini amepewa mafundisho ya kidini na mama yake.
  • Mama hakumbuki lini amesikiliza changamoto za mtoto wake.
Hayo yote huchangia kukosekana kwa maadili mema kwa mtoto na mwisho wake mtoto anaweza kuingia katika makundi mabovu ikiwemo ushoga na usahaji.

HITIMISHO
Ingawa malezi ni jukumu la wazazi wote yaani baba na mama, ila akina mama mnajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wenu wanapata malezi bora. Fanyeni kazi ila kumbukeni nyumba inajengwa na kubomolewa na akina mama.

Akina mama rudini katika misingi mizuri ya familiya ya kulea ndoa zenu na watoto wenu ili kupunguza mmomonyoko wa maadlili na talaka zisizo za lazima katika jamii.

NB: Akina baba pia tambueni ninyi ni vichwa vya familiya, hivyo wajibikeni kikamilifu katika kuhudumia familiya na kufatilia mienendo ya watoto wenu.

Asante msomaji kwa kusoma hadi mwisho wa chapisho hili. Tafadhari bonyeza Vote hapo chini kama umependa chapisho.
 
Je unadhani wanawake pekee ndio chanzo kikuu cha matatizo tajwa na kama ni ndiyo unafikiri wakirudi katika misingi unayoizungumzia tatizo litaisha.
 
Hapo chini kwenye hitimisho nimeonyesha kuwa jukumu la kulea familiya ni la wazazi wote ila mwanamke ana ana athari kubwa sana katika malezi kwa watoto na kwa mume wake. Hivyo kila mmoja akisimamia suala la malezi kwa uaminifu matatizo tajwa yatapungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
UTANGULIZI

Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji na Talaka.

Moja, ushoga ni kitu kibaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata katika jamii zetu. Pia tunaona kwamba janga hili linakua kwa kasi sana na lengo kubwa ni kutengeneza Watoto wadogo waanze kujifunza ubaya huu tangia utotoni ili waone kuwa ni kitu cha kawaida ukubwani. Swali ni kwamba, Kwanini watoto? Jibu ni rahisi... MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO. Na Neno la Mungu linasema.... Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

Pili, janga la Talaka nalo limekuwa tishio katika jamii yetu. Si mapenzi ya Mungu mke na mume wafunge ndoa kisha waachane. Lakini tatizo hili limezalisha (Single mothers) na (Single Dads) wengi sana.
Jamii inaanza kuona kuwa talaka ni jambo la kawaida hivyo watu hawaoni shida kuingia kwenye ndoa na kutoka kama wapendavyo kuwa ni kitu kibaya na hatari kwa Familiya na Jamii kwa ujumla.

MWANAMKE KAMA SEHEMU YA CHANZO CHA TALAKA

Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mithali 14:1

Hakika mwanamke ana jukumu kubwa sana la kulinda na kujenga nyumba yake. Siku hizi akina mama wengi wametoka katika MSINGI huu wa kujenga nyumba zao na kuanza kuzibomoa kwa tabia na mienendo yao mibovu.
- Mwanamke ni msaidizi wa Mume wake. Lakini wanawake wengi walio na mafanikio kama Fedha, Elimu au Cheo, hawaoni kuwa ni muhimu KUHESHIMU WAUME ZAO tena. Wengi wanaheshimu Maboss zao, kazi zao au vyeo vyao kuliko Mume.

Biblia inasema... Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana.
  • Mwanamke hakumbuki siku aliyopika chakula cha Mume wake.
  • Mwanamke hakumbuki lini kafua nguo za Mume wake hata mara moja kwa wiki.
  • Baadhi hawakumbuki lini wametandika vitanda wanavyolala na waume zao.
  • Wengine wamekuwa na midomo sana kiasi kwamba mwanamke ndiye Mwanaume na Mwanaume anageuzwa kuwa mwanamke.
Wanawake wengi hawajui kwanini Mwanaume akiamua kutoka nje ya ndoa ana sahau kama ameoa. Hii ni kwasababu huko kwenye michepuko wanaume hupewa huduma za hali ya juu sana. Mfano: Heshima, adabu, utii, kupikiwa chakula, kufuliwa nguo na huduma nyinginezo.
Hali hii hufanya wanaume kuachana na wake zao na kuamua kuishi na michepuko na hivyo kuongeza Talaka katika Jamii.

Akina mama! Muda umefika rudini katika misingi ya utiifu na unyenyekevu katika ndoa zenu ili kupunguza Talaka zisizo za lazima.

Hata kama mke una mali nyingi kuzi mume, hata kama una fedha kuzidi mume, hata kama una elimu kuzidi mume, hata kama una vyeo kuzidi mume, tambua wewe ni mwanamke unapaswa kumpa mwanaume kile anacho stahili na kutoa muda wako katika kulea ndoa au familiya yako.

MWANAMKE KUTOKUWA NA MALEZI BORA KAMA CHANZO CHA USHOGA NA USAGAJI

Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye. Mithali 10:1

Kama tulivyoona kwenye utangulizi, watoto ni tageti kubwa ya kuzalisha mashoga na wasagaji.
Mama alipewa jukumu kubwa la kuwa mlezi wa Familiya yake ili kuhakikisha anatengeneza kizazi bora.
Siku hizi baadhi ya wanawake hawapendi tena kazi hii ya kulea watoto badala yake hupe kazi zinazowaweka nje ya nyumba zao kuanzia asubuhi hadi usiku.

Hali hii husababisha watoto wadogo kulelewa na wajakazi wa ndani pamoja na shule wanazosoma. Mbali zaidi.. baadhi wamethubutu kupeleka hadi watoto wenye mwaka mmoja wakae shuleni ili wao waendelee na kazi zao. Matokeo yake mtoto hapati tena malezi bora ya mama yake bali anapata malezi machafu na kujifunza tabia chafu pale anapolelewa na watu wenye nia mbaya.
  • Mtoto anamwona mama asubuhi hadi asubuhi inayofuata
  • Mtoto hakumbuki lini amepewa mafundisho ya kidini na mama yake.
  • Mama hakumbuki lini amesikiliza changamoto za mtoto wake.
Hayo yote huchangia kukosekana kwa maadili mema kwa mtoto na mwisho wake mtoto anaweza kuingia katika makundi mabovu ikiwemo ushoga na usahaji.

HITIMISHO
Ingawa malezi ni jukumu la wazazi wote yaani baba na mama, ila akina mama mnajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wenu wanapata malezi bora. Fanyeni kazi ila kumbukeni nyumba inajengwa na kubomolewa na akina mama.

Akina mama rudini katika misingi mizuri ya familiya ya kulea ndoa zenu na watoto wenu ili kupunguza mmomonyoko wa maadlili na talaka zisizo za lazima katika jamii.

NB: Akina baba pia tambueni ninyi ni vichwa vya familiya, hivyo wajibikeni kikamilifu katika kuhudumia familiya na kufatilia mienendo ya watoto wenu.

Asante msomaji kwa kusoma hadi mwisho wa chapisho hili.
Kabisa
 
Yap uwajibikaji muhimu xn
 
Me nadhani ni muda sasa wanaume wajitafakari aina za wanawake wanaoamua kupata nao watoto. Sio unakutana na mwanamke hata haujamjua vema historia yake, tabia zake, mwenendo wake, familia anayotokea, mama yake yupoje, unaruka moja kwa moja na kuzaa nae then akianza kukuonyesha makucha unalalamika.

Mnawapa shida sana watoto aisee. Wakati unalala na mwanamke acha kujifikiria wewe tu upate demu mkali au mtamu wa kufanya nae ngono unasahau kuwa huyo unaelala nae pia unatakiwa uwazie mama wa mtoto au watoto wako.

Angalia usiishie katika kujifurahisha tu wewe bali uwatazame na watoto wako wanapata mama wa aina gani.
 
Somo zuri kwa wanaume. Big up sana mzee
 
UTANGULIZI

Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi.

Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata katika jamii zetu. Pia tunaona kwamba majanga haya yanaongezeka kwa kasi sana na lengo kubwa ni kutengeneza kizazi cha ovyo kuanzia kwa Watoto wadogo ili waanze kujifunza mambo ya ovyo mapema na wakiwa watu wazima waone kuwa ni mambo ya kawaida.

Kwa mfano: Kwa utafiti mdogo niliofanya mimi mwenyewe, nilibaini kuwa, baadhi ya wanawake wanaona talaka ni jambo la kawaida sana na hawaoni shida kuingia kwenye ndoa na kutoka muda wowote. Wamesahau kuwa, kuvunja ndoa ni kitu kibaya na hatari kwa Familiya na Jamii kwa ujumla. Hii ikapelekea nikumbuke maneno haya....

"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe."

Hakika mwanamke ana jukumu kubwa sana la kulinda na kujenga nyumba yake, kuanzia kwa watoto wake, mume wake na wote walio katika nyumba yake.

Siku hizi akina mama wengi wametoka katika MSINGI huu wa kujenga nyumba zao na kuanza kuzibomoa kwa tabia na mienendo yao mibovu. Wengi wamekuwa na dharau kwakuwa wana elimu, pesa au vyeo kuzidi waume wao. Wengine wamekuwa bize sana kuliko waume zao na kukosa kabisa muda hata kidogo wa kukaa na watoto ili kuwafundisha maadili mema.

MFANO:
  • Mwanamke hakumbuki siku aliyopika chakula cha Mume wake.
  • Mwanamke hakumbuki lini kafua nguo za Mume wake hata mara moja kwa wiki.
  • Baadhi hawakumbuki lini wametandika vitanda wanavyolala na waume zao
Akina mama! Muda umefika rudini katika misingi ya utiifu na unyenyekevu katika ndoa zenu ili kupunguza Talaka zisizo za lazima.

Hata kama mke una mali nyingi kuzi mume, hata kama una fedha kuzidi mume, hata kama una elimu kuzidi mume, hata kama una vyeo kuzidi mume, tambua wewe ni mwanamke unapaswa kumpa mwanaume kile anacho stahili na kutoa muda wako katika kulea ndoa au familiya yako.

Pia, mwamke akumbuke kuwa ana jukumu kubwa la kuwa mlezi mkuu wa Familiya yake ili kuhakikisha anatengeneza kizazi bora.
Siku hizi baadhi ya wanawake hawapendi tena kazi hii ya kulea watoto badala yake hutumia muda mwingi sana katika kazi zinazowaweka nje ya nyumba zao kuanzia asubuhi hadi usiku.

Hali hii husababisha watoto wadogo kulelewa na wajakazi wa ndani pamoja na shule wanazosoma. Mbali zaidi.. baadhi wamethubutu kupeleka hadi watoto wenye mwaka mmoja wakae shuleni ili wao waendelee na kazi zao. Matokeo yake mtoto hapati tena malezi bora ya mama yake bali anapata malezi machafu na kujifunza tabia chafu pale anapolelewa na watu wenye nia mbaya.
  • Mtoto anamwona mama asubuhi hadi asubuhi inayofuata
  • Mtoto hakumbuki lini amepewa mafundisho ya kidini na mama yake.
  • Mama hakumbuki lini amesikiliza changamoto za mtoto wake.
Hayo yote huchangia kukosekana kwa maadili mema kwa mtoto na mwisho wake mtoto anaweza kuingia katika makundi mabovu ikiwemo ushoga na usahaji.

HITIMISHO
Ingawa malezi ni jukumu la wazazi wote yaani baba na mama, ila akina mama mnajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wenu wanapata malezi bora. Fanyeni kazi ila kumbukeni nyumba inajengwa na kubomolewa na akina mama.

Akina mama rudini katika misingi mizuri ya familiya ya kulea ndoa zenu na watoto wenu ili kupunguza mmomonyoko wa maadlili na talaka zisizo za lazima katika jamii.

NB: Akina baba pia tambueni ninyi ni vichwa vya familiya, hivyo wajibikeni kikamilifu katika kuhudumia familiya na kufatilia mienendo ya watoto wenu.

Asante msomaji kwa kusoma hadi mwisho wa chapisho hili. Tafadhari bonyeza Vote hapo chini kama umependa chapisho.
Vyema sana
 
Hapo umenena vyema mkuu. Wanawake lazima wajue kwamba wao ndiyo walezi wakubwa wa familia
 
Exactly
 
Back
Top Bottom