Ushauri kwa Serikali: Baada ya kuwashughulikia machinga sasa ni zamu ya wauza simu feki wa Kariakoo na Makumbusho

Mbona Umelipuka Sana Mleta Mada
Kula Pilau Yako Taratibu Lamba Mikono Yako Huo Mchuzi

Tafuta Kinywaji Unywe Halafu Cheua
 
Mkuu hii ni nchi yetu tuna TCRA, tuna TBS lazima tuhakikishe raia wetu wanauziwa bidhaa huku serikali ikiingiza mapato.
Ngoja niwambi simu feki haziwezi kuisha nchini kwa kuwa hata wanaokwenda Africa Kusini kwenye maduka ya diplomatic zipo nimewai kushuhudia mtu amenunua kama original. Hata dubai zipo watu wanakuja nazo na wanapita uwanja wa ndege bila kikwazo. Ujanja unaotumika kwa vijana watundu wanadownload kisoftware kidogo cha imei changer kwa kutumia WiFi wanaenda software inaitwa industry imei calculator wanapata imei yoyote inayoruka bila tatizo. Msid zinakuwa sawa tcra inapita bila kupingwa. Lakini ukienda posta mpya simu zote za kisasa zinazolandana na simu za bei ghali zipo na wananchi wanazinunua wakijua kuwa ni feki. Simu hizi zinasaidia sana wababa waonga simu. Anainunua 170 iphone 13 au x au Samsung S20 yaani kama original anampiga nayo mdada shakubimbi anakula mzigo hatari akidhani kapewa simu ya million 3. Hata hivyo serikali inafaidika kwa kuwa kuna tozo ya muda wa maongezi kwa kuwa anayenunuliwa naye kama ana kitochi anakigawa kwa mwingine maisha yanaenda. Simu Feki hata vodacom wanaziuza kama original. Ukienda vodacom wana simu vitek 5 hii ukinunua inadumu siku 100 ikiharibika hawana mbadala nimegombana nao sana. Vodacom simu zote wanazouza laki moja ni feki na hazina spare. Waogope sana voda wa hapo samora
 
Napenda kununua kwenye maduka yao hasa sumsung, huko nako wana fake?
Nina ya kwangu sasa muda mrefu kweli sijaona shida
 
Sema watu wengi wanashindwa kutofautisha simu feki na refurbished
 
Nadhani kukwepa hizo simu watu wangekuwa wananunua mtandaoni au katika maduka rasmi....
 
Ujue wanaosimamia ubora wapo na wanajua yote Haya ila wameishapewa rushwa wametulia tuli
Wao wakipita wanapitia chao Sisi tunapiga kelele wanatuchora
Hili ndio tatizo, lakini serikali imelisikia hili na itaenda kulifanyia kazi. Hili ni taifa letu we expect quality products to our consumers.
 
Nadhani kukwepa hizo simu watu wangekuwa wananunua mtandaoni au katika maduka rasmi....
Hivi unadhani kama serikali ikiamua kuweka wawekezaji wanaoeleweka kwenye biashara ya simu tutashindwa kupata quality products????
 
Sema watu wengi wanashindwa kutofautisha simu feki na refurbished
Kwa kweli hawajui. Maduka mengi mazuri yaliyopambwa kwa mbwembe mengi yanauza refurbished/ used na rejected. Hizi simu zinauzwa kwenye minada ulaya. Ukienda Amazon zipo. Ali Market China zipo. EBAY USA na UK zipo. Bado kwenye makampuni ya mawasiliano simu zinazouzwa na zimeisha walanti zipo. Tz hawawezi kuzikataza kuingia na zinaingia kuwa ni used au refurbished lakini wajanja wa kariakoo uyengeneza mabox na kuziuza kama mpya kwa bei ya chini.
 
Back
Top Bottom