Ungefanyaje?

chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,252
1,060
Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo

Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine.
Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata niliezaa naye hivyo hivyo coz walikuwa wanagombana sana,.
Sasa ishu inakuja huyu demu alisafiri kwenda mkoa mwingine na alisema twende wote nikamuambia atangulie kisha nitaenda, siku zikazidi kuenda nikawa nashindwa kuenda nikabaki nikawa naishi na yule mzazi mwenzangu, bahati mbaya mzazi mwenzangu akafariki, na huyo demu aliyeondoka alidai nitakuroga, ingawa huyu mzazi mwenzangu alikuwa anaumwa mda mrefu moyo.
Ikabidi nimwambie kuhusu kifo, akanipa pole , kumbe na yeye huko alipo alipata mtoto ila bwana aliyemzalisha alikuwa muhindi alifariki kwa ajari.
Sasa tupo njia panda kurudisha mahusiano nashindwa nifanyeje ingawa siku hizi anichangamkii kama zamani , hi tunapeana tupo dilema, ila mimi kila nikiwa na demu sidumu naye kabisa najikuta nambwaga na wala sielewi tangu aniambie nitakuroga, hivi mtu akitamka hivyo ni kweli yanatendeka au akuogaye hakuambii??!najiuliza tu
 
d4102018-de6d-4e27-b82c-e94140a2e69e_345x480.gif
 
Hukumuelewa tu huko alipoenda alijipanga na akafanya mashambulizi ya kushitukiza mara paap imo aka level score board na sasa ni 1-1

Hii mechi itakuwa ngumu sana maamuzi ni yako.

Muhimu: Uchawi upo lakini kwa upande wako umeupa kipaumbele baada ya maneno yake na huenda isiwe hivyo unavyofikiria.
 
Hujarogwa wewe...

Jinsi tu visa vyako vilivyo, inaonesha ndio ulivyo yaani akili zako ndio zimefika mwisho katika kupambanua mambo...

Soma hii summary ya stori yako...

Hapo zamani za kale ulikuwa na uhusiano na binti A...

Baadaye kidogo ukaachana na binti A, ukaanzisha mahusiano na binti B....

Ulipoanza mahusiano na binti B, yule binti A akajua mahusiano yenu hivyo kukawa na ugomvi wa hapa na pale kati ya binti A na binti B....

(Kwa jinsi ulivyosimulia, hadi hapa hujatishiwa kurogwa, lakini ona haya makasheshe yaliyopo na chanzo ni wewe)

Baada ya muda binti B akasafiri kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, huku nyuma wewe kidume ukarudisha majeshi kwa binti A na mkaanza kuishi tena...

(Hadi hapa bado hujatishiwa kurogwa, ni akili zako mwenyewe ndio zinapiga mark time)
 
Mleta mada ni mtu asiyekua na msimamo na ni mtu asiyejua anataka nini hasa,
Ndio maana akawa kwenye mahusiano na hao Wanawake wawili na akashindwa kua na maamuzi ya kua na mmoja kati yao,

Kwa maoni yangu angebaki na aliyezaa nae na kumtema huyo mwingine,

Kwenye maisha usipokua na msimamo au kua na maamuzi,utapitia kama anayoyapitia mleta mada.
 
Nilibaki na niliyezaa nae but alifariki coz aliumwa mda mrefu, nikataka kurudisha majeshi kwa aliyembali nikamsimulia akanipa pole but naye kumbe ana mtoto, nikahisi ana mahusiano yake , nikawa na mahusiano mengine yakawa haya dumu , nikamchunguza huyu mwenye mtoto nikasikia alizaa na muhindi naye muhindi alikufa kwa ajari, akawa ananipigia simu tukawa tunaongea tu ya kawaida salamu na maisha basi , kinachoniuma mimi nimekuwa sidumu kwenye mahusiano na yule nikumchunguza ni kama yupo single ingawa hajioneshi namuona kwenye mitandao nipo njia panda umri unaenda sina demu😂😂😁😁😁
 
Hujarogwa wewe...

Jinsi tu visa vyako vilivyo, inaonesha ndio ulivyo yaani akili zako ndio zimefika mwisho katika kupambanua mambo...

Soma hii summary ya stori yako...

Hapo zamani za kale ulikuwa na uhusiano na binti A...

Baadaye kidogo ukaachana na binti A, ukaanzisha mahusiano na binti B....

Ulipoanza mahusiano na binti B, yule binti A akajua mahusiano yenu hivyo kukawa na ugomvi wa hapa na pale kati ya binti A na binti B....

(Kwa jinsi ulivyosimulia, hadi hapa hujatishiwa kurogwa, lakini ona haya makasheshe yaliyopo na chanzo ni wewe)

Baada ya muda binti B akasafiri kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, huku nyuma wewe kidume ukarudisha majeshi kwa binti A na mkaanza kuishi tena...

(Hadi hapa bado hujatishiwa kurogwa, ni akili zako mwenyewe ndio zinapiga mark time)
Nilirudisha kwa huyu niliyezaa naye coz tumekaa kwenye mahusiano mda mrefu sana miaka 8 huyu aliyesafiri ni miaka 2 na huyu niliyezaa naye akafariki so ndipo nikajikuta nammisi huyu aliyesafiri nikagundua ana mtoto nikamove on na mahusiano mengine but hayadumu najukuta nawabwaga bila sababu na huyu alisema nitakuroga ingekuwa wewe ungefanyaje mjomba vaa viatu vyangu
 
Hukumuelewa tu huko alipoenda alijipanga na akafanya mashambulizi ya kushitukiza mara paap imo aka level score board na sasa ni 1-1

Hii mechi itakuwa ngumu sana maamuzi ni yako.

Muhimu: Uchawi upo lakini kwa upande wako umeupa kipaumbele baada ya maneno yake na huenda isiwe hivyo unavyofikiria.
Niongee tu ukweli kwenye hili mimi binafsi nilifanya mistake na coz nilikuwa tayari nakaa na mzazi mwenzangu coz alikaa ndani ya miaka mitano bila mimi kwenda ndipo akapata mtoto ni kweli kwa mtoto wa kike halafu mzuri hawezi kukaa mda mrefu hivyo alichoka coz kila siku alikuwa ananiambia niende nikawa nampa hope lakin ikashindikana mambo ni mengi
 
Una
Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo

Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine.
Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata niliezaa naye hivyo hivyo coz walikuwa wanagombana sana,.
Sasa ishu inakuja huyu demu alisafiri kwenda mkoa mwingine na alisema twende wote nikamuambia atangulie kisha nitaenda, siku zikazidi kuenda nikawa nashindwa kuenda nikabaki nikawa naishi na yule mzazi mwenzangu, bahati mbaya mzazi mwenzangu akafariki, na huyo demu aliyeondoka alidai nitakuroga, ingawa huyu mzazi mwenzangu alikuwa anaumwa mda mrefu moyo.
Ikabidi nimwambie kuhusu kifo, akanipa pole , kumbe na yeye huko alipo alipata mtoto ila bwana aliyemzalisha alikuwa muhindi alifariki kwa ajari.
Sasa tupo njia panda kurudisha mahusiano nashindwa nifanyeje ingawa siku hizi anichangamkii kama zamani , hi tunapeana tupo dilema, ila mimi kila nikiwa na demu sidumu naye kabisa najikuta nambwaga na wala sielewi tangu aniambie nitakuroga, hivi mtu akitamka hivyo ni kweli yanatendeka au akuogaye hakuambii??!najiuliza tu
unaamini uchawi? Sali
 
Back
Top Bottom