Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo
Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine.
Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata niliezaa naye hivyo hivyo coz walikuwa wanagombana sana,.
Sasa ishu inakuja huyu demu alisafiri kwenda mkoa mwingine na alisema twende wote nikamuambia atangulie kisha nitaenda, siku zikazidi kuenda nikawa nashindwa kuenda nikabaki nikawa naishi na yule mzazi mwenzangu, bahati mbaya mzazi mwenzangu akafariki, na huyo demu aliyeondoka alidai nitakuroga, ingawa huyu mzazi mwenzangu alikuwa anaumwa mda mrefu moyo.
Ikabidi nimwambie kuhusu kifo, akanipa pole , kumbe na yeye huko alipo alipata mtoto ila bwana aliyemzalisha alikuwa muhindi alifariki kwa ajari.
Sasa tupo njia panda kurudisha mahusiano nashindwa nifanyeje ingawa siku hizi anichangamkii kama zamani , hi tunapeana tupo dilema, ila mimi kila nikiwa na demu sidumu naye kabisa najikuta nambwaga na wala sielewi tangu aniambie nitakuroga, hivi mtu akitamka hivyo ni kweli yanatendeka au akuogaye hakuambii??!najiuliza tu