Ungefanyaje?

Sasa lazima awe demu wako huyo, si umeshahisi ni mchawi unataka mawazo ya nini tena si uachane nae?
Sijasema awe demu wangu ila nimewaza coz kila nikianzisha mahusiano mapya hayadumu mkuu na yeye sioni akiongeza mtoto wa pili au kumuona na mume sijamuona ingawa yupo mkoa mwingine na mimi na alinitamkia hivyo nitakuroga so ni kama nachunguza coz mahusiano hayadumu najikuta nabwaga kwa tukio dogo tu wala sielwi
 
Aggregate iko vizuri bado(1~1)huku wewe ni mgane na yeye ni mjane!make it happen or other fella afanye aggregate 1~2
 
Mkuu Kuna maajabu ya Dunia na maajabu yako,Yani Kwa jinsi mademu walivyojaa Bado unajiuliza Endapo urudiane na X wako ambaye kashazaa na muhindi?
 
Back
Top Bottom