Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

very interesting 🤓

I hope mnakaribia kua kama wale ambao hadi inafika mahali au wakati hadi sura, tembea yao, kila mahali wanaambatana ispokua maeneo machache, rangi za mavazi yao, ongea yao zinafanaaa 🐒

na wengine hadi wakiingia mathalani bar kama ni wanywaji, badala ya kuagiza bia kila moja na yake, inaagizwa moja tu na wanagawana hiyo, ikiisha wanaagiza nyingine tena wanagawana 🤣

yaani confrontations zao za nyuma zimegeuka na kua very beautiful love, hot love watu wanaweza kushangaa but kujifunza kwayo...

well done,
It is a lesson 🐒
hatunywi but watu husema tumeanza kufanana inafikia hatua unaona kabisa huyu ni wangu wa kuzikana nimpende peke yake tukae tudumu tulee watoto wetu
 
Miezi 2 tu na ndoa
Leo mwaka wa 30 na ushee
Thank God
Nafikiri ni maelewano tu na kutatua matatizo yenu kama binadamu mwenye mapungufu
 
Back
Top Bottom