Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

nilimchukua na kuweka ndani nafikiri ilikua ni zoezi la miezi kama mitatu nikamuoa humohumo na mimba juu

hii ni bada ya mshezi moja kula mahari yangu akishirikiana na familia yake na kutokomea kusiko julikana, wabara wajinga kabisa
 
hivi mambo muhimu ya kujuana ni kama yapi, kwa mfano, huenda mlikua mnasoma pamoja, mnasali pamoja, mnaishi mtaa moja, mnafanya kazi au biashara pamoja n.k🐒
Hapa Ni mlengwa Tabia zake anareact vipi kwenye situations, attitudes,life style,,hobbies, finances, healthy,, familia yake anainteract Vipin Na familia yake,ndugu zake wakoje,.... above all and firstly is mahusiano yake Na Mungu yakoje🧑‍🦯🧑‍🦯🧑‍🦯
 
hivi mambo muhimu ya kujuana ni kama yapi, kwa mfano, huenda mlikua mnasoma pamoja, mnasali pamoja, mnaishi mtaa moja, mnafanya kazi au biashara pamoja n.k🐒
It depends na uwezo wa kusoma mtu, kingine personality ya mtu utaijua endapo utaspend mda nae. Labda kama wewe kazi yako ni kupiga shoo tu, hapo lazima utapetape maana hujui maana ya familia na mahusiano.
 
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani?

maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao wala mipango ya kuthibitisha kuishi kama mke na mume kwa ndoa.

na ikitokea Mungu kaingilia kati kadiri apendavyo kati yao inakua changamoto sana ndio watu wanaanza kuhangaika kujuana na kubebeshana mizigo na kuipokea mizigo hiyo kwa shingo upande.....

hebu wazoefu walio kwenye ndoa hivi sasa, washaurini walioko kwenye uchumba sasa hivi, kwamba ndani ya kipindi fulani kwenye uchumba panapaswa kufungwa ndoa, na kwahiyo nje ya kipindi hicho ni kilio na kusaga meno tu huko mbeleni 🐒

samahani sana,
sikusemi wewe ladies and gentlemen 🐒
Miezi 3,,,now mwaka wa 20 ndoani n life's good
 
Mwaka na nusu, ndoa miaka 18 tupo ktk steji ya 3 yani tumeachana
 
hio miaka kumi haikua rahisi tuneshatukanana sana kublokiana kwa sana temeana shit kwa sana lakini ndie nayezeeka naye
very interesting 🤓

I hope mnakaribia kua kama wale ambao hadi inafika mahali au wakati hadi sura, tembea yao, kila mahali wanaambatana ispokua maeneo machache, rangi za mavazi yao, ongea yao zinafanaaa 🐒

na wengine hadi wakiingia mathalani bar kama ni wanywaji, badala ya kuagiza bia kila moja na yake, inaagizwa moja tu na wanagawana hiyo, ikiisha wanaagiza nyingine tena wanagawana 🤣

yaani confrontations zao za nyuma zimegeuka na kua very beautiful love, hot love watu wanaweza kushangaa but kujifunza kwayo...

well done,
It is a lesson 🐒
 
Miezi 3,,,now mwaka wa 20 ndoani n life's good
hiyo mwendokasi kabisa...
I hope mlikutana masole mate kabisa ambao mwenzi wako anataka ndoa nawe unataka ndoa na mko tayari kabisa kwa hili with all your hearts 🌹.....

mawazo, malengo, matarajio, uaminifu, hashima, hekima n. k miongoni mwenu viliwaongoza na Mungu akawa katika yenu kabisa na ndio maana mna enjoy maisha ya ndoa mpaka wa sasa....

very interesting...🐒
 
Back
Top Bottom