Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,368
11,724
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani?

maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao wala mipango ya kuthibitisha kuishi kama mke na mume kwa ndoa.

na ikitokea Mungu kaingilia kati kadiri apendavyo kati yao inakua changamoto sana ndio watu wanaanza kuhangaika kujuana na kubebeshana mizigo na kuipokea mizigo hiyo kwa shingo upande.....

hebu wazoefu walio kwenye ndoa hivi sasa, washaurini walioko kwenye uchumba sasa hivi, kwamba ndani ya kipindi fulani kwenye uchumba panapaswa kufungwa ndoa, na kwahiyo nje ya kipindi hicho ni kilio na kusaga meno tu huko mbeleni 🐒

samahani sana,
sikusemi wewe ladies and gentlemen 🐒
 
Mwaka na miezi mitatu
Yes,
at least ni reasonable, kwamba mkiwa kwenye uchumba huku mnapanga utambulisho wenu makwenu na ndoa 🐒

mathalani,
mko kwenye uchumba now. Buy July or Aug2024, mapanga au kukusudia kwenda kujitambukisha kwao, then by dec or Jan2025, mnapanga kwenda kujitambulisha kwenu. halafu maybe be manapanga au kukusudia kufunga ndoa May au June2025...

I think time table kama hii ni vema ikawepo miongoni mwa wachumba right?🐒

kama haipo lazma usense uelekeo sasa...
don't manage to west time
 
Back
Top Bottom