The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Je unawezaje kupata matokea kama umechaguliwa unapigiwa simu au Kuna sehemu maarum ya kupata matokea
 
Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo;
1.Ni kozi ngapi zinafundishwa
2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje
3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani
Naombeni kueleweshwa
Unatoka mkoani?
Pale kuna watu wazima[in service ] na wale fresh from collage!

Kuna wenye mishahara na waliofikia gheto kwa washkaji Mwananyamala!
Kuna wanawake wameacha waume zao mikoani na ndio wakati wao wa kuonja "za vijana-serengeti boys"
kuna waliotoka Lw firms na kuna waliotoka chuo -Mikoani!
Kuna wenye VVU na wasio, ni mwendo wa kubadilishana kwenye lodge za Sinza!
Kuna wanaopewa alama na kuna wanaozitafuta kwa nguvu za Mungu!
Kuna watakaopata kazi wakiwa Law School na kuna wataoharibu CV zao na kusubiria ajira za serikal1
 
Ada milioni 3 tu, kila mtu aliyesoma sheria anaweza,[wanafunzi wengi mnamiliki iphone macho 3 ya milion 3.2 hamshindwi ].Inalipwa kwa mkupuo.

Mafunzo mwaka mmoja, mtaingia kama. 400 hivi, kati yenu 25 watafaulu, mliobaki kama 150 mtapata supplimentary za masomo zaidi ya 5 na wengine 150 wata DISCO[discontinued].

Karibu LST -where complain never end.
ndio maana watu hughairi kwenda mweeeeh!
 
Back
Top Bottom