The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

kagolo muta

Member
Aug 26, 2023
5
4
Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
 
Nivyema uende mahakamani kwanza kufungua kesi ya madai.

Ila endapo mdai ameruhusu wewe kupiga mnafa bila kumlazimisha, basi unaweza kuendelea na mnada huo, Japo mnada una taratibu zake kisheria
 
Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
hapo itategemea ikiwa hio Mali ilitumika kama security na hio security ilisajiliwa kuwa kama dhama. Mdai ana automatic right ya kuuza hio Mali. Kinyume na hapo lazima huyo mdai aende mahakamani ili apate amri ya mahakama
 
Wako sahihi kama uliweka kama Security na ume shindwa kulipa, hawana haja ya kupata consent ya mahakama
 
Back
Top Bottom