TAMISEMI yatangaza ajira 3865 za Watendaji wa Kata, Vijiji na Mtaa

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,831
4,586
Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema ofisi yake inakamilisha taratibu za kuajiri watendaji wa kata 525, watendaji wa vijiji 1,986, watendaji wa mitaa 1,333 na maofisa tarafa 21.

Amesema hayo leo Jumanne, Aprili 16, 2024 wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25, yanayohusisha mafungu ya Tamisemi, Tume ya Utumishi wa Walimu na mikoa.
 
Sifa.

Afisa tarafa na watendaji wa kata kwenye majiji na manuspaa lazima wawe na digree. TGD d1

Watendaji wa mitaa diploma tgs c1

Watendaji vijiji cert B1

NB:
Watagawana uvccm, madiwani vijana wasomi na wenye bahati zao.
 
Sifa.

Afisa tarafa na watendaji wa kata kwenye majiji na manuspaa lazima wawe na digree. TGD d1

Watendaji wa mitaa diploma tgs c1

Watendaji vijiji cert B1

NB:
Watagawana uvccm, madiwani vijana wasomi na wenye bahati zao.
Chadema wenye sifa hizo hawapo huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom