Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648

Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo

Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe TAMISEMI ili Watumishi waombe katika Halmashauri

Amesema hatua hii itasababisha Mtumishi kuomba kazi katika eneo analolifahamu badala ya kupangiwa eneo ambalo hajaridhika na kutaka kuhama baada ya muda mfupi.

Pia soma:

- Bunge la 12: Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024

- TAMISEMI yatangaza ajira 3865 za Watendaji wa Kata, Vijiji na Mtaa
 
Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo

Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe TAMISEMI ili Watumishi waombe katika Halmashauri

Amesema hatua hii itasababisha Mtumishi kuomba kazi katika eneo analolifahamu badala ya kupangiwa eneo ambalo hajaridhika na kutaka kuhama baada ya muda mfupi.

Pia soma:

- Bunge la 12: Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024h

- TAMISEMI yatangaza ajira 3865 za Watendaji wa Kata, Vijiji na Mtaa
Hii italeta ukabila
 
Back
Top Bottom