K Killing machine JF-Expert Member Jul 24, 2022 1,310 1,476 Mar 13, 2024 #4,321 Usimchukie mtu kwa sababu ana chukiana na mtu wako wa karibu kwa sababu hujui Nani alikuwa mkorofi Kati yao
Usimchukie mtu kwa sababu ana chukiana na mtu wako wa karibu kwa sababu hujui Nani alikuwa mkorofi Kati yao
mkakaflani Senior Member Sep 30, 2023 160 357 Apr 26, 2024 #4,324 Dunia ina mengi, fanya kuchukua yanayokuhusu, mengine waachie yanayowahusu, ukitaka vyote utakosa vyote
Dunia ina mengi, fanya kuchukua yanayokuhusu, mengine waachie yanayowahusu, ukitaka vyote utakosa vyote