Inategemea ni ua gani unalolielezea, maua mengine yanavutiwa na 'mende' tuuuu.
Kwa ibada nasinzia, ila niliona bia nasikia kuchangamka... Mwimbaji goodluck
Ivar the boneless dah mtoto wa reginar lothbrokGood things happen to people who wait.
Ivar the boneless
Hahaa mwanzo sikumkubali kabisa ila mbeleni dah...dogo ana mipango ya kimkakati sanaIvar the boneless dah mtoto wa reginar lothbrok
sanaaHahaa mwanzo sikumkubali kabisa ila mbeleni dah...dogo ana mipango ya kimkakati sana
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaKatika maisha jaribu kujifunza kuacha vitu viende hatakama vitagharimu malengo yako
Forgive yourself to let it goGo hard or go home!
Msemo unanipga mzuka sana huu.