Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Hayo ndiyo mawazo ya uongozi wa SUA,ikifika mwezi wa 6 hela zinarudi hazina eti hazijatumika.

Chuo hiki kinauwawa kwa viongozi wake kutokujali elimu bali pesa zao na teuzi.

Huu ukweli wakiambiwa wanaunda zengwe.
Aahh tena tunaosoma hapa vet medicine ndo kabisaaa, Tunafundishwa elimu ya zamani ambapo haiendani na uhalisia wa mambo ys siku hizi, what they think merely personal gain. Upuuzi mtupu
 
Umenikumbusha jambo kuna mhadhiri mmoja anaitwa Dr Sarwatt, (marehemu) alikuwa na motes zake kwenye daftari alizoandika miaka ya 70 lakini bado alikuwa anangangania kufundisha notes hizohizo. Yaani hadi daftari limegeuka kuwa rangi ya njano. Ni shida.

Pia kuna baadhi ya wahadhiri wavivu walikuwa wanaenda kwenye internet wanapakua notes na kuja kutubwagia kama zilizvyo na kutumezesha nzimanzima. Tumetoka mbali sana aisee 🤣 🤣 🤣
Aisee nimepita hapo zamani nikiwa jeshini mzinga namjua Sarwatt bila shaka ni wa idara ya wanyama
 
Hayo ndiyo mawazo ya uongozi wa SUA,ikifika mwezi wa 6 hela zinarudi hazina eti hazijatumika.

Chuo hiki kinauwawa kwa viongozi wake kutokujali elimu bali pesa zao na teuzi.

Huu ukweli wakiambiwa wanaunda zengwe.
Hela zinarudishwa hazina badala ya kutumika kuboresha miundombinu? Hakuna uongozi hapo aisee!
 
Aahh tena tunaosoma hapa vet medicine ndo kabisaaa, Tunafundishwa elimu ya zamani ambapo haiendani na uhalisia wa mambo ys siku hizi, what they think merely personal gain. Upuuzi mtupu
Mkuu hili ni tatizo kwa ngazi zote za elimu na kwa vyuo vyote. Tunafundishwa ujinga mwingi ambao tukija nao hapa mtaani tunakuta sio applicable kabisa.
 
Back
Top Bottom