Kiplayer JF-Expert Member Oct 12, 2018 1,015 1,592 Feb 24, 2024 #1 Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
eldora Senior Member Feb 4, 2024 110 362 Feb 24, 2024 #2 Lakini coz nyingi zina kilimo sana acha kiwe ivo ivo we soma course yako utoke uwaache wengine waendelee au kiitwe apopo 🤣🤣
Lakini coz nyingi zina kilimo sana acha kiwe ivo ivo we soma course yako utoke uwaache wengine waendelee au kiitwe apopo 🤣🤣
U uwe hodari JF-Expert Member Dec 16, 2022 4,047 8,541 Feb 24, 2024 #5 Kilimo ndio kozi Mama na ndio msingi wa chuo Hizo kozi zingine zinawezwa zikaondolewa km mahitaji ya kilimo yataongezeka
Kilimo ndio kozi Mama na ndio msingi wa chuo Hizo kozi zingine zinawezwa zikaondolewa km mahitaji ya kilimo yataongezeka
Nyafula JF-Expert Member May 19, 2023 266 273 Feb 24, 2024 #6 Kiplayer said: Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo. Click to expand... Mawazo mgando...kafanye mazoezi
Kiplayer said: Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo. Click to expand... Mawazo mgando...kafanye mazoezi
Kiplayer JF-Expert Member Oct 12, 2018 1,015 1,592 Feb 24, 2024 Thread starter #7 Nyafula said: Mawazo mgando...kafanye mazoezi Click to expand... Sawa mgandishaji wa mawazo
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 62,911 158,186 Feb 24, 2024 #8 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... Yeah.. Saivi sio kilimo tu
peno hasegawa JF-Expert Member Feb 24, 2016 13,098 21,848 Feb 24, 2024 #9 Shayo Ngowi yupogo jamani huko SUA?