Kiplayer JF-Expert Member Oct 12, 2018 1,028 1,607 Feb 24, 2024 #1 Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
eldora Senior Member Feb 4, 2024 111 368 Feb 24, 2024 #2 Lakini coz nyingi zina kilimo sana acha kiwe ivo ivo we soma course yako utoke uwaache wengine waendelee au kiitwe apopo 🤣🤣
Lakini coz nyingi zina kilimo sana acha kiwe ivo ivo we soma course yako utoke uwaache wengine waendelee au kiitwe apopo 🤣🤣
U uwe hodari JF-Expert Member Dec 16, 2022 4,047 8,552 Feb 24, 2024 #5 Kilimo ndio kozi Mama na ndio msingi wa chuo Hizo kozi zingine zinawezwa zikaondolewa km mahitaji ya kilimo yataongezeka
Kilimo ndio kozi Mama na ndio msingi wa chuo Hizo kozi zingine zinawezwa zikaondolewa km mahitaji ya kilimo yataongezeka
Nyafula JF-Expert Member May 19, 2023 268 275 Feb 24, 2024 #6 Kiplayer said: Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo. Click to expand... Mawazo mgando...kafanye mazoezi
Kiplayer said: Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo. Click to expand... Mawazo mgando...kafanye mazoezi
Kiplayer JF-Expert Member Oct 12, 2018 1,028 1,607 Feb 24, 2024 Thread starter #7 Nyafula said: Mawazo mgando...kafanye mazoezi Click to expand... Sawa mgandishaji wa mawazo
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 63,195 158,803 Feb 24, 2024 #8 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... Yeah.. Saivi sio kilimo tu
peno hasegawa JF-Expert Member Feb 24, 2016 13,385 22,175 Feb 24, 2024 #9 Shayo Ngowi yupogo jamani huko SUA?